Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

Status
Not open for further replies.
Awa caf wehu sana.team haina hata uwanja eti inaipiku utajiri zamaleki

Au wamehesabu utajiri wa Mo wakaufanya ndio wa mikia.
Haaaaaaaahaaaaaaa we jamaa kichwa sana yaani simba amzidi tp mazembe?
 
Simba ya tano wakati hata uwanja wa maana hawana. Hizi propaganda za siasa kumbe siyo katika Siasa za utawala tu, kumbe hadi katika taasisi zinazosimamia michezo.
 
kama mpira haulipi waulize KABURU na MWENZAKE wanaohusishwa na kuchota dola laki tatu za SIMBA au uliza Timu inatoa hela wapi za kambi na vyakula.wanalala LODGE za bei ya chini 50,000 na wanakienda nje dola 200 kwa chumba na nauli si chini ya dola 500 na wanaenda wachezaji wote na viongozi bila shida.Timu zina hela ndio maana wanagombea madaraka
Hapa ndio umedhihirisha umbumbumbu wako jinga kabisa.

Timu inakwenfa kucheza nje international games inagharamiwa na timu mwenyeji, fala wewe.
 
Hiki chanzo cha habari ni uongo mkubwa Simba anaanzaje kwa mfano kuizidi Tp Mazembe, Orlando Pirates, Etouile ya Tunisia, Enyimba zipo nyingi ngoja niishie hapo
 
Naona wakina Manara washaona Ubingwa wa Bara hawaupati wameamua sasa kuja na hili ili kuwapumbaza Mambumbumbu wao ili wapate kitu cha kujisifia msimu huu.
Hivi ile rufaa yao ya Fifa iliishia wapi? Maana naziona dalili zote za Yanga kubeba tena ubingwa.

Hivi Yanga makwapa huwa hayawaumi kubeba makombe tu?
 
Mimi Simba lakini kwa hili 🙁🙁 mimi nadhani hata million 10 ya madafu hatuna Bank.
 
Yaani mo kweli nimeamini ni bonge la msanii,kafanya usanii kwenye kile kijarida kaona haitoshi aiingize na mikia fc,huu utajiri wa simba wameupata lini kwa vitu gani?
 
Unajua maana ya Brand?

Unajua formula ya ku calculate brand ya kitu kujua value yake?
Unajua determinants za brand?

Tuanzie hapo kwanza wakati unatafuta penseli na Daktari la mistari mirefu na mifupi upate darsa
Sasa simba ina brand gani

Klabu kama wydad Casablanca inachukua makombe ya CAF kila siku ina ,inacheza club world cup na wakina Madrid kila mwaka ,ina sponsors wengi ,wachezaji ghali na maarufu ,klabu inajulikana duniani kote mechi zao zina audience nyingi ...kits zao wanauza kwa wingi nk

Simba ina brand gani hao sponsors wenyewe ndio mwaka huu angalau wamepata Sports pesa ,

Simba ina brand kubwa kuliko wydad Casablanc??


Vichekesho hivi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom