Shirima ujenzi bora Tanzania asaidiwe kitaalam ana kitu, atafika mbali!

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
1. Huyu "Ëngineer" wa instagram anafaa kusaidiwa kitaalamu ili ajisajili ERB na kampuni yake isajiliwe BRELA, TRA, OSHA, NEMC ili apate kazi kubwa zaidi.

2. ukimsikiliza vizuri, anaonekana mjuzi haswa japo ni kama hajui namna ya kuwasilisha utaalamu wake kwa umma akaeleweka.
 

Attachments

  • a23c297a08a7468da09b57bb15bbf10e_E14E71D82EA71BCBC60738D765ECE7BE_video_dashinit.mp4
    20.2 MB
  • 97b9c0aba46f452a8b2a347ea41317d9_8445BB36E9A8F3EF3B31D14F5036C299_video_dashinit.mp4
    13.9 MB
Point. Mwamba anakua defensive Sana nahisi hamna elimu mule kama Ndaro tu
 
Mhh ni Engineer yule?
 
Utitiri wa usajili unasaidia nini kukuza utaalamu? Au ni kukisanya mapato tu?
 
Lipia tangazo Ndugu Shirima
 
Ni engineer? Nu fundi mchundo? Au ni wale mafundi waliojua kazi baada ya kufanya sana hizo kazi Ila hawana utaalamu wowote? Hapo ndio pakuanzia ukoyajua hayo

Ila kwa engineer sidhani, maana engineer huwezi mshauri kitu kama hiko Cha kujisajili ERB. Engineer yoyote anajua ERB ni nini, hana haja ya kushauriwa na yoyote kuhusu ERB
 
Tulikubaliana engineers hatuongei kama wanyangwine,ila tupeleke site 😆😆
 
Tupe clip na picha za kazi alizofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…