Uyu boya alinambia kujenga boma la vyumba vi3 et 9M pesa ya ufundi 🤣🤣 nilifuta namba zake hapo hapoShirima ni ngumbaru kama Sisi tu
Wahaya walikufanyaje wewe😂😂😂😂usinambie ndiyo walikufanya utembee hvo unatembeaga!Huyo nilimshauri kitu akaniblock Instagram, darasa la pili yule ana matatizo, halaf majigambo kama mhaya
SNi tapeli kama matapeli wengine, ashauriki, hasomi gugo kujiongezea ufahamu halaf hata kizungu hajui , ndo mana hawezi kujosomea gugo ambayo materials nzuri zipo kizungu lugha
MmhShirima ni ngumbaru kama Sisi tu
tumekuomba namba ya simu tukuchangie ukatibiwe mirembe mbona umetorokaPoint. Mwamba anakua defensive Sana nahisi hamna elimu mule kama Ndaro tu
mi nikadhani uliona mojawapo ya kazi zake kumbe, ulimsikiliza? Sasa we hauelewi ile kauli "mipango sio matumizi"!2. "ukimsikiliza vizuri, anaonekana mjuzi haswa".
Kumbemi nikadhani uliona mojawapo ya kazi zake kumbe, ulimsikiliza? Sasa we hauelewi ile kauli "mipango sio matumizi"!
au sio?Kumbe
Afu majengo yakidondoka muanze lalamikaUtitiri wa usajili unasaidia nini kukuza utaalamu? Au ni kukisanya mapato tu?
Pambana Shirima, hakuna kulala mpaka kieleweke.Eng Dr Shirima (CPA).