M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Dr Eng Shirima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo anajua, tatizo lake kubwa ni kimbele mbele/unafiki. Usije ukampeleka mteja wako kwa shirima, shughuli yako na huyo mteja itaishia hapo na urafiki na shirima utakufa1. Huyu "Ëngineer" wa instagram anafaa kusaidiwa kitaalamu ili ajisajili ERB na kampuni yake isajiliwe BRELA, TRA, OSHA, NEMC ili apate kazi kubwa zaidi.
2. ukimsikiliza vizuri, anaonekana mjuzi haswa japo ni kama hajui namna ya kuwasilisha utaalamu wake kwa umma akaeleweka.
Huyo ni fundi tuu, kapita short course VETA, uzoefu unambeba ila shule hamna, namjua vizuri sanaJamaa kapita shule ana degree mbona. Labda hajui kuitumia tu kujieleza ila kitabu amekula.
Jamaa anafaa kuwa mtangazajiHuyo ni fundi tuu, kapita short course VETA, uzoefu unambeba ila shule hamna, namjua vizuri sana
Ana inferiority Sana Hasa likitajwa suala la taaluma ya ujenziUwezo wake wa kawaida ila anakufanya uone mafundi wenzake wengine vilaza watupu. Sio fundi mzuri sana wala, ni average sema ana vitisho na tambo nyingi za kuwanasa maboya wajenzi wa online.
Kwa hiyo Joho alivaa kumbe la VETA, duhHuyo ni fundi tuu, kapita short course VETA, uzoefu unambeba ila shule hamna, namjua vizuri sana
Duuh, kumbe kaanzia mbali hivyo?Dogo anajua, tatizo lake kubwa ni kimbele mbele/unafiki. Usije ukampeleka mteja wako kwa shirima, shughuli yako na huyo mteja itaishia hapo na urafiki na shirima utakufa
Namjua kitambo sana tangu akishona viatu maeneo ya makonde
😂😂😂Point. Mwamba anakua defensive Sana nahisi hamna elimu mule kama Ndaro tu
DuuhHuyo ni fundi tuu, kapita short course VETA, uzoefu unambeba ila shule hamna, namjua vizuri sana
Kwa maisha yangu yote ya kufanya kazi na watu mbalimbali hakuna utaalamu uliowahi kupita experience.Ni engineer? Nu fundi mchundo? Au ni wale mafundi waliojua kazi baada ya kufanya sana hizo kazi Ila hawana utaalamu wowote? Hapo ndio pakuanzia ukoyajua hayo
Ila kwa engineer sidhani, maana engineer huwezi mshauri kitu kama hiko Cha kujisajili ERB. Engineer yoyote anajua ERB ni nini, hana haja ya kushauriwa na yoyote kuhusu ERB
Mkuu utakua umekaririKwa maisha yangu yote ya kufanya kazi na watu mbalimbali hakuna utaalamu uliowahi kupita experience.
Mtaalamu kafundishwa na aliyefanya kazi akagundua oooh inabidi tuimprove.....hadi elimu ya utaalamu inakufikia UD walimu wako washaenda field kuuliza/nyie mnaita research....Kisha wanakuja wanawawekea kwenye maandishi......Mkuu utakua umekariri
Utaalamu unaweza vizuri kupita experience endapo hiyo experience haiendani na utaalamu. Kuna watu wana uzoefu lakini sio wataalamu. Kuna mzee mmoja fundi alikua na uzeofu mkubwa wa kutoa bush alikua anatumia masaa mengi sana, lakini zilipokuja pressing mashine hakuna mtu anaenda tena kwake
Kuna mzee alikua uzoefu wa kuchora kwa mkono ramani, lakini sasa hivi vijana wanapiga kazi fasta tu kwa ArchiCAD