Shirima ujenzi bora Tanzania asaidiwe kitaalam ana kitu, atafika mbali!

Dogo anajua, tatizo lake kubwa ni kimbele mbele/unafiki. Usije ukampeleka mteja wako kwa shirima, shughuli yako na huyo mteja itaishia hapo na urafiki na shirima utakufa

Namjua kitambo sana tangu akishona viatu maeneo ya makonde
 
Duuh, kumbe kaanzia mbali hivyo?
 
Kwa maisha yangu yote ya kufanya kazi na watu mbalimbali hakuna utaalamu uliowahi kupita experience.
 
Kwa maisha yangu yote ya kufanya kazi na watu mbalimbali hakuna utaalamu uliowahi kupita experience.
Mkuu utakua umekariri
Utaalamu unaweza vizuri kupita experience endapo hiyo experience haiendani na utaalamu. Kuna watu wana uzoefu lakini sio wataalamu. Kuna mzee mmoja fundi alikua na uzeofu mkubwa wa kutoa bush alikua anatumia masaa mengi sana, lakini zilipokuja pressing mashine hakuna mtu anaenda tena kwake

Kuna mzee alikua uzoefu wa kuchora kwa mkono ramani, lakini sasa hivi vijana wanapiga kazi fasta tu kwa ArchiCAD
 
Mtaalamu kafundishwa na aliyefanya kazi akagundua oooh inabidi tuimprove.....hadi elimu ya utaalamu inakufikia UD walimu wako washaenda field kuuliza/nyie mnaita research....Kisha wanakuja wanawawekea kwenye maandishi......
 
Shirima yupo vzuri sema tu shida yake nikuweka kwa juu kwenye kila nyumba anazojenga ukimpa nyumba 2 gharama zake unatoa nyumba 3 na kngne elimu tu ndo hana japo ana experience kubwa ya zaidi ya miaka 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…