Shirima ujenzi bora Tanzania asaidiwe kitaalam ana kitu, atafika mbali!

Uyu boya alinambia kujenga boma la vyumba vi3 et 9M pesa ya ufundi 🤣🤣 nilifuta namba zake hapo hapo
Huyu fala anajua kuwajaza sana mandezi. Ana mikwara sana instagram na majigambo kiasi kwamba anatengeneza mazingira muone mafundi wengine waonekane sio kitu. Huenda ni fundi kweli ila masifa sifa yake siwezi kufanya nae kazi mtu wa aina hio.
 
Vipi kuhusu kutoa ndogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…