Shishi Baby amlia mingo Raymond wa WCB, Wanyonyana ndimi nje nje

Sijui hawaoni aibu kusaula mbele ya dogo uliyemzidi 7 years halafu anakupigisha kwata la upendo duuuu!
 

Umeongea kiume hadi nimekupenda bureeee!
 
Sijui hawaoni aibu kusaula mbele ya dogo uliyemzidi 7 years halafu anakupigisha kwata la upendo duuuu!

Shangaa na wewe.
Mtu kama shilole tumbo lenyewe lishatepeta lile, kifua ndio ndembe ndembe kabisa ila yuko kujichoresha tu ptuuuuuuuu!!!
 
Generation of loose morals
 
Hilo ni tatizo la wazazi kuacha mtoto anakua bread winner kwenye familia. Automatically nae anakua baba. Tafta familia ambazo walikua mafukara na badae mtoto akatoboza. Mara nyingi watoto hao huwa wanajiamulia na wazazi hawana kabisa say maana mtoto ndio provider.
 
Shishi baby kazugwa na picha ya kichele cha million tisini.
 
Hawa madogo wanavamia game kwa pupa, na kitakacho wa cost ni kutaka kuishi maisha ya boss wao.
Hao mabibi hawana jipya zaidi ya kufuata pesa tu. Kama huyu Hamonise yani nikisikia jina tu nachefukwa.
Hivi thamani ya mama sasa hivi ipo wapi maana dizain kama imeshakuwa fashen hivi.
 
Hata kama anatafuta kick,angemchukua mamaake mtwara huko akamleta mjini hapa akamfanyia sherehe yake yakuzaliwa pale Mlimani City angekuwa maarufu tu sio kumuingiza kwenye huo uchafu wake wa uzinzi..angekuwa mdogo wangu hata kama me maskini ningemcharaza vibao.
 
Safi sana.. Ni mwendo wa kubemenduka tu..... Aisee hawa madogo inaonekana kipindi hawajatoka walikua wanayahusudu sana hayo majimama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…