Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakijakushtuka wameachiwa magonjwa,wengine vipaji vimeshuka pesa za show walikopeleka hapajulikani basi stress zake hukimbilia kumalizia kwenye cocaine na bangi mwaka wa kwanza wa pili parapanda inalia.
Nimesoma mahali yule bwana mdogo hamoniz kampeleka bibie kwa wakwe mamaake nae kampokea,najiuliza iko wapi heshima ya mama anayopaswa kupewa na mwanae?(personally,mahusiano yangu kabla sijaoa nilikuwa najitahidi sana mama yangu asijue na hakuwahi hata kuhisi hadi nilipotambulisha mchumba nyumbani).
Mama nae anaruhusu ujinga huo eti anamkaribisha mkwe amejipaka mirangi rangi kichwani.Haihitaji elimu ya darasani kujua kama hawa wanaojiita wapenzi kwa tittle zao hawatokaa waishi maisha yaliyotulia ya ndoa ila mama kijana anashiriki,what a shame.
Sijui hawaoni aibu kusaula mbele ya dogo uliyemzidi 7 years halafu anakupigisha kwata la upendo duuuu!
Generation of loose moralsWakijakushtuka wameachiwa magonjwa,wengine vipaji vimeshuka pesa za show walikopeleka hapajulikani basi stress zake hukimbilia kumalizia kwenye cocaine na bangi mwaka wa kwanza wa pili parapanda inalia.
Nimesoma mahali yule bwana mdogo hamoniz kampeleka bibie kwa wakwe mamaake nae kampokea,najiuliza iko wapi heshima ya mama anayopaswa kupewa na mwanae?(personally,mahusiano yangu kabla sijaoa nilikuwa najitahidi sana mama yangu asijue na hakuwahi hata kuhisi hadi nilipotambulisha mchumba nyumbani).
Mama nae anaruhusu ujinga huo eti anamkaribisha mkwe amejipaka mirangi rangi kichwani.Haihitaji elimu ya darasani kujua kama hawa wanaojiita wapenzi kwa tittle zao hawatokaa waishi maisha yaliyotulia ya ndoa ila mama kijana anashiriki,what a shame.
Hilo ni tatizo la wazazi kuacha mtoto anakua bread winner kwenye familia. Automatically nae anakua baba. Tafta familia ambazo walikua mafukara na badae mtoto akatoboza. Mara nyingi watoto hao huwa wanajiamulia na wazazi hawana kabisa say maana mtoto ndio provider.Wakijakushtuka wameachiwa magonjwa,wengine vipaji vimeshuka pesa za show walikopeleka hapajulikani basi stress zake hukimbilia kumalizia kwenye cocaine na bangi mwaka wa kwanza wa pili parapanda inalia.
Nimesoma mahali yule bwana mdogo hamoniz kampeleka bibie kwa wakwe mamaake nae kampokea,najiuliza iko wapi heshima ya mama anayopaswa kupewa na mwanae?(personally,mahusiano yangu kabla sijaoa nilikuwa najitahidi sana mama yangu asijue na hakuwahi hata kuhisi hadi nilipotambulisha mchumba nyumbani).
Mama nae anaruhusu ujinga huo eti anamkaribisha mkwe amejipaka mirangi rangi kichwani.Haihitaji elimu ya darasani kujua kama hawa wanaojiita wapenzi kwa tittle zao hawatokaa waishi maisha yaliyotulia ya ndoa ila mama kijana anashiriki,what a shame.
ha ha ha eti mambo ya kihansi.
Uliiona ile katuni iliyochorwa mastaa wa kike wanavyovibemenda hivi vijamaa.
Ni aibu tupu aiseee
Hata kama anatafuta kick,angemchukua mamaake mtwara huko akamleta mjini hapa akamfanyia sherehe yake yakuzaliwa pale Mlimani City angekuwa maarufu tu sio kumuingiza kwenye huo uchafu wake wa uzinzi..angekuwa mdogo wangu hata kama me maskini ningemcharaza vibao.Hawa madogo wanavamia game kwa pupa, na kitakacho wa cost ni kutaka kuishi maisha ya boss wao.
Hao mabibi hawana jipya zaidi ya kufuata pesa tu. Kama huyu Hamonise yani nikisikia jina tu nachefukwa.
Hivi thamani ya mama sasa hivi ipo wapi maana dizain kama imeshakuwa fashen hivi.