Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

Usiwasanue, unatuharibia sisi mwanajeshi wa KJ521 ,Lugalo barracks πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Usiwasanue, unatuharibia sisi mwanajeshi wa KJ521 ,Lugalo barracks πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sidhani kama inasaidia hata kama anatusanua maana hata kuhonga ni mojawapo ya matumizi. Mtu huwezi kumpangia matumizi ya hela zake.
 
Sidhani kama inasaidia hata kama anatusanua maana hata kuhonga ni mojawapo ya matumizi. Mtu huwezi kumpangia matumizi ya hela zake.
Mkuu umeng'ang'ana kuhonga kinyama [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna mjinga mmoja anajiita sutibega kashapigwa tukio

Alijifanya kumpenda Mwanamke kuliko wazazi wake
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ndio maana unaanzisha thread za kuwakataza Wenzako wasiwape help Wanawake kumbe upo tee sana ? 🀣🀣🀣
Yap jobless pro max Niko teeπŸ€’, ume Anza kuni cheka Tena πŸ€”πŸ˜†.

We si ume niambia v8 sio gari za Serikali
Basi Mimi ndod mwananchiπŸ€“πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…