SHIVJI: Serikali tatu ni kuvunja muungano

hii ratio ya watu m40:m2, kwa bunge la nchi la 15:15 sijui ni hesabu ya wapi? sijawahi kuiona wala kuisikia ina bidi tutafute nguli wa hesabu toka visiwani na wa bara waweze kutupa formula , na kwa wale nguli wa sharia kama Le Prof Issa Shivji, na wapiga ramli la kisiasa kama Jussaa na Maalim Seif watupe mifano ya case law au sharia inayo sema hivyo au suala kisiasa lilivyo kama wanavyo taka wao
 
Ukisha vunja muungano una sababu gani za kuunda chombo kingine? Chombo hicho 'kingine' kitashughulikia nini ambacho leo hakipo katika muungano?

Tusaidie kama huna jibu edit hiyo post yako na ondoa hayo maneno
 
Ukisha vunja muungano una sababu gani za kuunda chombo kingine? Chombo hicho 'kingine' kitashughulikia nini ambacho leo hakipo katika muungano?

Tusaidie kama huna jibu edit hiyo post yako na ondoa hayo maneno

Ukivunjwa mungano,kila nchi itakuwa na mamlaka yake kamili kila nchi itajiendesha inavyotaka kutokana na geografia na mazingaira yaliyokuwepo kwenye hiyo nchi

Nikisema kiundwe chombo chengine nakusudia kuwepo kwa makubaliano mengine na sio lazima yawe ya siasa,,mfano tanganyika na zanzibar inaweza kuunda chombo cha kuchughulikia biashara kati ya wafanyabishara wa pande zote mbili,kunaweza kuwepo makubaliano ya kuto pigana vita,makubaliano kuwa ikivamiwa zanzibar ndio imevamiwa tanganyika nk

Mungano uliokuwepo sasa baina ya zanzibar na tanganyika ni wa kisiasa tukumbuke kuwa kuungana sio lazima kuwe kwa siasa na kuongozana,mungano wa kuongozana nchi moja ni baba na moja mtoto ndio unaoleta utata,mazingira na geografia ya nchi hizi mbili ni tafauti lazima tukubali tukitaka tusitake
 
Tafadhali nakushauri ukae kimya! Ahsante
 
Tafadhali nakushauri ukae kimya! Ahsante

Freedom of speech,freedom of expression,ulinambia nikuwekee jibu,jibu nimekuekea,sasa unataka ninyamaze,unaukana uhuru wangu kama mtanzania,hayo ni mawazo yangu tu, una hiyari ya kuyakubali au kuayakataa uamuzi niwako
 
Freedom of speech,freedom of expression,hayo ni mawazo yangu tu una hiyari ya kuyakubali au kuayakataa uamuzi niwako
Nimesema hivyo kwasababu kama muungano ukivunjika hakuna sababu ya kuunda chombo kingine kwasababu tayari kipo ambacho ni EAC.

Huu ndio uoga unaowakumba wznz wakifikiria kuwa jiografia, tamaduni na uchumi wao una mahusiano zaidi na Tanganyika kuliko nchi nyingine. Hapa ndipo inapokuja hoja ya mkataba na sasa tunasikia chombo kingine.

Chabuso chombo kilichopo ni EAC au SADCC basi! hakuna chombo kingine kitakachokuwa na maana hasa kwa Tanganyika.
 

Nimekusoma mkuu
 
Unatakiwa usome vizuri sana kumwelewa profesa Shivji. Huu ni mfano mmojawapo wa kuonyesha kuwa huwa ana 'reservation'' kuhusu muungano asiyoiweka wazi. Ni vema amesema kuwa alishawahi kutoa mhadhara BLW.

Yeye kama akina Jussa wanaangalia sana nafasi hawaangalii gharama. Sidhani kuwa kuna uhalali wa kuwa 15:15 kama anavyopendekeza. Ndiyo yale yale ya tume ya Warioba nusu kwa nusu, linapokuja suala la gharama znz wanataka kuangalia uwiano kwa maana mkubwa atoe zaidi.

Anaonyesha wasi wasi wa kupungua nguvu za muungano, hajawahi kuonyesha wasi wasi wa BLW kutunga sheria bila kujali katiba ya muungano. Nina muheshimu sana prof Shivji, lakini hili la kujificha uzanzibar nyuma ya taaluma yake sikubaliani nalo.
 
that is more than ukweli kuku. We can have 20 govt but if there is no good governance we're nothing
 
Mkuu katiba hii mpya ya Zanzibar huyu Mhindi aliitetea kwa kumlaumu mh Tundu Lisu eti anapotosha umma. Hivi huko India mfumo wao wa serikali upo vipi?
 
Tatizo la Watanzania tulio wengi ni UVIVU wa KUSOMA, Joseph Mihangwa katika makala zake za 'Nasaha za Mihangwa' gazeti la Raia Mwema kazungumzia historia ya muungano wetu mara kwa mara lakini kwa kuwa tunapenda kuamini mtu AKIZUNGUMZACHO japo ni cha kijinga tunamuona wa maana sana. TUBADILIKE kwa kusema mfalme hajavaa nguo hapa.
 
Hebu tukumbushane historia, Waarabu na Wahindi wanajulikana miaka waliyoingia Zanzibar sasa Mwafrika wa kwanza kukanyaga huku alifika mwaka gani?
 
Kwenye mhadhara wake siku chache zilizopita, kaelezea kidogo muundo mbadala ambao yeye binafsi angependekeza. bahati mbaya hakuna maelezo ya kutosha. Lakini kwa kifupi bado anapendekeza serikali mbili lakini kuwe na mabunge mawili. Moja kama hili la sasa na linguine dogo kama la watu 30 hivi. Hili la pili linaweza kuwa kama baraza la senate vile. Wasiwasi wangu ni kwamba madai ya Wa Zanzibar katika huo muundo wake yatapatiwa ufumbuzi? Hilo la kwanza. La pili bado serikali ya muungano itaendelea kubeba majukukmu ya Tanganyika? Kama vile Mtwara wanvyosema haitoki, Tanganyika haikwepeki!!
 
msibabaike na u-prof wake, huyu mzee akili imeesha zeeka na imechoka vya kutosha.Na naungana na mdau hapo juu Huyu shivji hofu yake anahisi atatimuliwa arudi huko zanzibar kwenye nchi ya taabu isiyo kuwa na mbele wala nyuma ndo maana anatetea muungano.... We Tanganyikanses we don't want it. tunataka Tanganyika yetu mkafe huko na njaa zenu.. mtakula mabofro na urojo na mchele wa mapembe mpaka mkome.Nyie muigeni huyo juha wenu Jusa na Maalim hamjui kama wamepandikizwa na waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…