SHIVJI: Serikali tatu ni kuvunja muungano

SHIVJI: Serikali tatu ni kuvunja muungano

ifweero

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
7,957
Reaction score
1,335
Nguli wa sheria afrika Prof. Issa Shivji amesema kuunda serikali tatu hapa tz ni kuvunja muungano. Amesema si wakati muafaka sasa kulumbana kuhusu idadi ya serikali bali tulumbane kuhusu maendeleo ya nchi.

Amesema tunahitaji katiba mpya haraka lakini tuwe makini na baadhi ya mapendekezo yaliyopo kwenye rasimu ya katiba iliyotolewa hivi karibuni.

Source: taarifa za habari ktk vituo vya radio na television na magazeti mbalimbali hapa nchini pamoja mitandao ya kijamii
 
Kuna ishu ya gharama hapo pia. Ni vyema twende kwenye serikali moja km alivyopendekeza mwanakijiji
 
Serikali ina maana kila serikali itakuwa na jeshi kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa nchi
 
...wenye kunufuika na muungano..."kama wapo"....na wautetee....!....wenye imani wajue..."zulmah. au utapeli dhidi ya nchi isiyo yako ni dhambi pia"...kama asili yako ni nchi ya "sultan jamsheed" jiepushe na dhambi ya kudhulumu, na kung'ang'ania mali asili za tanganyika kwa kutii sheria mpya za tanganyika...kuwa mzalendo kwa zanzibar yako..ukiambiwa rudi kwenu "kwa sheria za tanganyika, ondoka rudi kwenu"...
 
kama kuna mtu ana clip yake atuwekee tupime ana hoja, au na yy mwenzetu kaamua kututeka kielimu
 
Wazanzibar kamwe hawawezi kukubali serikali moja i can bet one billion dollars, solution ya kudumu ni kuuvunja huu Muungano wa Nyerere na Karume. fullstop
 
Muungano is not a part of my life. What I need is things such as Good governance, peace, transparency, accountability, rule of law, equality, proper exploitation of resources, sustainable development plan, and many such related elements.

I hate such words that are being spoken by such people like Mizengo Kayanza Peter Pinda and his allies Nchemba, Lukuvi and Wasira...
 
Wazanzibar kamwe hawawezi kukubali serikali moja i can bet one billion dollars, solution ya kudumu ni kuuvunja huu Muungano wa Nyerere na Karume. fullstop

Hata mi ctaki muungano!...nyie viongozi mnaong'ang'ania mtuambie whts behind
 
Si muda muafaka sasa kufikiria miserikali mingi. Haifai hata kidogo
 
Hata mi ctaki muungano!...nyie viongozi mnaong'ang'ania mtuambie whts behind
Kama kuna tatizo Nyerere alilotuachia basi ni huu Muungano, ilipaswa kuwa Muungano wa Serikali moja from the beginning, ila kwa sasa Wanzanzibar wanadai nchi yao yenye Mamlaka kamili, sasa hawa wanaong'ang'ania huu muungano watueleze wazi maslahi yao na hawa ni Watanganyika wenzetu ndio wanautaka huu Muungano.
 
Shivji atoe Njia je ifanyike Vipi ili serikali ya znz isiendelee kuwa kibogoyo au anapenda jinsi wanavyoburuzwa?rais wa znz sio Makamo wa rais tena Kama ilivyokuwa mwanzo
 
kwa kweli imefikia muda sasa wa kuvunja muungano hakika,kama kweli muungano ungekuwa na tija kwa wananch basi tungeendelea kuupenda,pia uliundwa kimizengwe na hauna budi kuvunjwa kimizengwe pia,wazanzbar hawa taki muungano bara pia hatutaki muungano,sasa tupilia kule,
 
Ni mtazamo wake. kwa sasa mfumo wa serikali tatu haupingiki ni kujipanga tu namna ya kuunda vinginevyo muungano uvunjike kabisa. Labda pia angetoa mawazo yake ni mfumo upi anautaka na kwa jinsi gani utekelezeke. Mfumo wa serikali mbili umeprove failure hauna haja wa kuujadili. Mfumo wa serikali moja tatizo ni wanzanzibar hawawezi kuukubali. So mfumo wa serikali tatu haupingi mjadala unaotakiwa sasa kama taifa ni namna gani ya kuutekeleza na si vinginevyo.
 
Serikali ina maana kila serikali itakuwa na jeshi kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa nchi

Watanzania wavivu wakuifikiri kama nyie ndo mnaleta hoja za kijinga.Someni rasimu ya katiba mulewe mambo ya msingi ya Serikali ya Shirikisho na serikali za shiriki.Mambo ya Ulinzi na usalama ni ya Shirikisho na amiri Mkuu ni Raisi wa shirikisho, umesoma wapi kwamba kila serikali itakuwa na majehi yake?.Pili RASIMU ni maoni ya wananchi na siyo ya Waryoba au Tume, acheni unafiki.Serikali mbili hauwezekani na serikali moja haiwezekani.
 
prof hajawa analytical! Hivi tukilazimisha serikali moja haoni kama ghalama itakuwa kubwa zaidi hata ya hizo serikali tatu? Yaani pressure groups zitamushroom msivyoweza kufikilia, tena hata ugaidi unaweza kuwemo mark my word! hapo prof kachemka saana!
 
Nguli wa sheria afrika Prof. Issa Shivji amesema kuunda serikali tatu hapa tz ni kuvunja muungano. Amesema si wakati muafaka sasa kulumbana kuhusu idadi ya serikali bali tulumbane kuhusu maendeleo ya nchi.

Amesema tunahitaji katiba mpya haraka lakini tuwe makini na baadhi ya mapendekezo yaliyopo kwenye rasimu ya katiba iliyotolewa hivi karibuni.

Source: taarifa za habari ktk vituo vya radio na television na magazeti mbalimbali hapa nchini pamoja mitandao ya kijamii

Shivji ni mnafiki, kama walivyo wazanzibari wengi.
Shivji ana asili ya Uzanzibari na ndio wale waliokimbia huko wakati wa misuko suko ya kisiasa.
Na inaelekea ancheza kwao ili kutuzwa.
Angekuwa si mnafiki basi tungesikia kilio chake cha kupinga katiba mpya ya Zanzibar inayotaka Zanzibar inwe nchi inayojitambua kuliko ilivyokuwa ndani ya muungano.
Hatukusikia neno wala maoni yake, kama yapo basi ayaweke hadharani ili yaendane na kilio hiki cha Tnganyika kutaka serikali yake nayo kama Zanzibar walivyofanya.

Tatizo la Wazanzibari ni unafiki, wamelilia serikali tatu miaka mingi, na sasa Watanganyika wameamua kweli, jitoeni ili mupate serikali yenu ya Zanzibar, na sisi serikali yetu ya Tanganyika irudi.

Kwa vile Watanganyika ndio tunachangia kila kitu cha muungano ni dhahiri hatutakubali tuwagharimie wazanzibari kuja kula kuku bure huku Tanganyika wakati hawana mchango wowote hapa kwenye serikali ya muungano.
Na mbaya zaidi itabidi hao wazanzibari sasa warudi makwao, nchini Zanzibar!

Hicho ndio kiini cha panic ya kina Shivji, na si kwamba wanaupenda muungano, wnatunyonya waTanganyika!!
 
Watanzania wavivu wakuifikiri kama nyie ndo mnaleta hoja za kijinga.Someni rasimu ya katiba mulewe mambo ya msingi ya Serikali ya Shirikisho na serikali za shiriki.Mambo ya Ulinzi na usalama ni ya Shirikisho na amiri Mkuu ni Raisi wa shirikisho, umesoma wapi kwamba kila serikali itakuwa na majehi yake?.Pili RASIMU ni maoni ya wananchi na siyo ya Waryoba au Tume, acheni unafiki.Serikali mbili hauwezekani na serikali moja haiwezekani.

Kanga usimchukulie serious huyo babayako nadhani ni product ya shule za kata! Sijawahi kumuona katoa hoja! ni wale tunao waigno humu jamvini!
 
Prof Sivji hotuba yaake ya kuaga kuwa mwenyekiti wa kigoda cha mwalimu ilikuwa inaonyeshwa live katika ITV na mimi nilibahatika kumsikliza katika sehemu ya mwisho wa hotuba yake.

Yeye anasema kuwa swala la muhimu sio kujadili idadi ya serikali bali maslahi ya taifa. Mapendekezo yake katika mfumo wa muungano ambayo amesema alishawahi kuyawakilisha kwa serikali ya Zanzibar ni kuwa na dola mbili kamili na kuwa na mabunge matatu, moja la tanganyika,moja la zanziba na moja la muungano. Pia anapendekeza mambo ya muungano ya angaliwe kwa level tatu za umuhimu, kuwe na mambo ya muungano, kuwe na mambo yasiyo ya muungano lakini yanaangaliwa kwa karibu sana na serikali au bunge la muungano na yawepo mambo ya common interest kwa wote.

Kwa mtu yeyote aliye ifuatilia hotuba hiyo naomba aongezee.

ITV, au Kigoda cha Mwalimu wakiiweka ile hotuba you tube watatusaidia sana,kwani ilikuwa ni hotuba ya kufungua macho kuhusu suala la rasimu ya katiba
 
Shivji ni mnafiki, kama walivyo wazanzibari wengi.
Shivji ana asili ya Uzanzibari na ndio wale waliokimbia huko wakati wa misuko dsuko ya kisiasa.
Na inaelekea ancheza kwao ili kutuzwa.
Angekuwa si mnafiki basi tungesZanzibar inayotaka Zanzibar inwe nchi inayojitambua kuliko ilivyokuwa ndani ya muungano.
Hatukusikia neno wala maoni yake, kama yapo basi ayaweke hadharani ili yaendane na kilio hiki cha Tnganyika kutaka serikali yake nayo kama Zanzibar walivyofanya.

Tatizo la Wazanzibari ni unafiki, wamelilia serikali tatu miaka mingi, na sasa Watanganyika wameamua kweli, jitoeni ili mupate serikali yenu ya Zanzibar, na sisi serikali yetu ya Tanganyika irudi.

Kwa vile Watanganyika ndio tunachangia kila kitu cha muungano ni dhahiri hatutakubali tuwagharimie wazanzibari kuja kula kuku bure huku Tanganyika wakati hawana mcha, masopakyindi at last you have come into your perfect sense! now we are sailling in the same boat and hujainafikisha nafsi yako, po ulembwike kikolo! yeah
 
Back
Top Bottom