Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

Zamani nyumbani kwetu kulikuwa na kisaluni na benchi la masela kupiga stori.Sasa kuna kisista duu siku hiyo kikapita tuko kama mtu 6 .Kila mtu kinamsalimia kwa kuhug na kukiss kufika kwangu kikaniruka.Kismart cha mbwa koko.
 
Nimefika kwenye kimgahawa kimoja, nikaenda kwenye matunda nikakuta mdada ameshika sahani ya chakula.

Chakula kilikua kiugali kidogo kama vitonge vitatu, na vinyama huku akisusubiri matunda.

Kwa shobo zangu nikamwambia β€œugali huo utashiba?” Nikamuuliza kama mara tatu lakini akafanya kama hasikii
Mara ya nne ni kama nikamgusa kidgo mana nikahisi labda ni kiziwi, lakini hakutaka hata kushtuka.

Ilionesha clearly kua ameamua kunilia buyu, kisha akaondoka zake, nimefandhaika na kujiona mjinga sana.

Muuza matunda kwakua ananiheshimu, kafanya kama hajaona kilichotokea.

Anyway leo nimejofunza ku balance shobo hasa kwa watu niliowajua.

Pengine alidhani namtaka kimapenzi au natafuta ukaribu nimtongoze, kumbe sina hata nia hiyoπŸ™ŒπŸ™Œ
Hiyo ni Shobo kweli Utasemaje Kiboya Angekusubilia wewe upite Ndo aanze kula , Dada amekula akakumbuka matunda
 
kuna mdada tunajuana, ila huwa ananata sana basi siku nilimuona sehemu nikajifanya kama sijamuona vile, akaja kumwambia ndugu yangu mbona fulan ana dharau sana, yaani kaniona sehemu hata salamu hakuna, yule ndugu akamwambia kwan ww ulikuwa bubu wakat huo ukashindwa kumsemesha?
 
Back
Top Bottom