Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
Kuna watu hamjitafakarigi before unaweza kuta una kitambi au umekondeana sana, hukuwa umevaa vizuri, hukuwa umenyoa vizuri, hukuwa unanukia vizuri, hukua na swagga, hukuwa na sauti nzuri, hukuwa na muonekano wa kiheshimiwa yaani kiufupi hukuwa na mbele wala nyuma.... Hapo tatizo linaweza kuwa sio shobo bali Ulionekana kama uliedata blaza 😁😁😁... Msiishiege kulaumu hawa warembo wangu wakati sometimes mnafeligi wenyewe