Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,950
Sikumbuki vzr ila alikwenda kwenye Kongamano la dunia ambalo Mgeni rasmi alikuwa ni Bill Gate. Wakiwa bado wako nje ya Ukumbi Bill Gate alipita akiwa kavaa Jeans na shati (casual) akamsalimia ila Madam Ritta alimtazama tu kwa dharau na hakupokea salamu ya bilionea huyo.Huo mkasa ukoje aisee
Nadhani Madam Ritta mwenyewe ali-tweet huku akijutia kutopokea salamu ya Bilionea huyo eti akijitetea ya kuwa hakumtambua sababu alivaa casual. Kwa walio na tweet hiyo wanaweza kutuwekea hapa.