miviga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2024
- 1,721
- 6,037
Emotional damage, acha shobo ukiwa mjiniMiaka kama mi3 iliyopita maeneo ya mwenge nilikutana na classmate wa shule ya msingi wa miaka karibu 20 iliyopita nikamkumbuka maana tulikuwa tunakaa dawati moja alafu washikaji nikamsalimia naona jamaa anaitikia kama vile amenisahau ikabidi nimuulize unanikumbuka Mzee? Akanijibu "nakukumbuka ndio maana nimekuitikia" alafu huyoo akajikataa zake daah nilijisikia vibaya sana siku nzima ikawa mbaya kwangu.