Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

Yaani bro Domhome umejifunza kitu cha msingi sana. Yaani ukiweza kubalance shobo maisha yanakua simplified.
 
Wiki mbili zilizopita kuna dem tulitokea kuzoeana sana ndani ya mda mfupi, nilimtongoza akanikatalia baadae akaanza kuleta shobo cm nying text za kutosha akili yngu ikasema uyu ameshajaa
Akaomba aje kunitembelea geto kwangu kabla hajaondoka kwenda chuo nkamwambia sawa hain shida, bas mtoto alikuja geto jion flan hv baad ya stor kdg nkaanza uchokozi na alinionesha ushirikiano wa kutosha nkajua Leo nakula tunda kimasihara alilainika sana Lakin alikaza kutoa mbunye.
Baad y mda nkamsindikiza akaondoka asee baad ya kutoka na kuondoka akuwai kunitafuta tena na nilipojaribu kumtafuta kwa sms na calls ushirikiano ulikua mdg baad ya kam ckumbili alinitext niache kumtafuta niendelee na mambo yangu, nilipojaribu kumuuliza kwanin aliniambia haoni connection yeyote kati yngu na yeye so it's doesn't work nimuache tu kuanzia sasa

imenifikirisha sana na kukosa amani ndani ya siku kadhaa mpak sas cjajua ni wap nilipokosea....
 
Hahahaaaaaaaaaa
 
Angalia labda hajapendezwa na geto lako, au kwenye mambo ya romantic kaona uko hovyo
 
Kwa jinsi ninavyovaa rafu wala sinaga shobo na pisi labda tukutane bar.
 
Kitu Cha kwanza ukikutana na mwanamke yeyote:

1 Usimshobokee
2 Kama mmekaa siti Moja msigusane
3 Usionyeshe ni kama umeshtushwa na uzuri wake
4 Muone kawaida

Ukifanya opposite na hayo unaonekana una njaa na kiu ya wanawake hivyo utampoteza.
 
Alikuja kuSCAN geto kuona kama umejipata,hujafika viwango alivyotarajia

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Huyo yote ni kwasababu huna hela
 
Alikuja kuSCAN geto kuona kama umejipata,hujafika viwango alivyotarajia

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Uenda ikawa ivyo ila poa tu angalau niliambua kumchezea, ila wanawake bhana ni viumbe wa ajabu sana sasa geto langu yeye litamsaidia nn naweza geto nikawa kawaida lkn mfukoni kukawa vzuri kikubwa yey si aangalie mahitaji yake au
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…