IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Hivi Gerson Msigwa mbona kawa kimya sana? Page yake kule Twitter iko kimya sanaBarua za Gerson Msigwa kwenda kwa vyombo vya habari,ulishawahi ona ina muhuri???? Logo pekee inatosha kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Gerson Msigwa mbona kawa kimya sana? Page yake kule Twitter iko kimya sanaBarua za Gerson Msigwa kwenda kwa vyombo vya habari,ulishawahi ona ina muhuri???? Logo pekee inatosha kabisa
Vituo vya afya si vimejengwa kila kona? What's your problem?Na hizo hospitali nazo zikipandisha bei na kuwa za kitalii wananchi watatibiwa wapi?
Wewe it seems una kipato, you don't care about others
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Agha Khan, kuna ndugu yangu alilazwa ICU kwa tatizo la Covid 19, kuingizwa tu ICU TZS 6m. Hiyo ndiyo advance payment.
Hizi hospitali zimenunua Respiratory machines kwa gharama kubwa. Serikali walipewa mabilioni ya pesa na taasisi za kimataifa, badala ya kununua vifaatiba, wakapeleka kwenye uchaguzi na kisha kuwadanganya wajinga kuwa eti uchaguzi wa safati hii tumegharamia wenyewe.
Si uende Muhimbili, Bugando, vituo vya afya etc? Kairuki wataenda wenye hizo fedha...Korona ikishaingia kwenye mapafu Nyungu haisaidii.
Sasa Familia nzima ikichapwa na Korona halafu muwe na shida ya Oxygen muambiwe huduma ni laki nane na nusu per day kwa mtu mmoja na huduma inachukua wiki nzima.
Yaani mnapoteza familia hivihivi huku mnajiona!
Badala ya kuona hili jambo ni la kawaida (soko huria), Wafikirieni wenzenu ambao changamoto ya kupumua imeshika members wa familia let say watano kwa mkupuo!
Kwa hiyo pale Agakhan huduma zake costs ni sawa na Mwananyamala au Amana siyo??Hata kama zingekuwa zimejengwa mamilioni ya hospitali, mfumo wa afya Tanzania upo regulated na serikali. Huduma ya afya si biashara huria kwamba wajipangie bei wanazotaka wao.
Kama mtu anaweza kulipishwa dola 100 kwa nini asilipe milioni huko Kairuki??Hiyo $100 ni tozo ya matibabu? Usichanganye vitu hapa. $100 ni tozo ya vipimo kwa mtu anayehitaji kusafiri kwenda sehemu ambayo wanahitaji certificate ya COVID 19, ni kama ilivyo kwa homa ya manjano. Suala la Kairuki ni tozo ya matibabu, tozo kwa mtu anayeumwa anayehitaji huduma ili apone.
Unaenda kituo cha afya cha serikali mkuu..Imenifanya nikumbuke wimbo wa christian bella, mimi masikini niende wap eeh
Si hakuna korona?Pale unapopandisha bei mara nyingi katika kipindi fulani cha ugonjwa wa mlipuko ni dhahiri kuna question mark. Kwa nini hizi bei hazikushoot kiasi hiki miezi kadhaa nyuma wakati tatizo la korona halikuwa kubwa nchini?
Hizo hospitali za serikali zina ventilators? Au unajifanya kusahau wakati ule kila kitu kipo wazi wagonjwa walivyokuwa wanatoroka kwa sababu hakukua na huduma!Unaenda kituo cha afya cha serikali mkuu..
Kama wanaotibu kwa 600K wanafanya biashara, na vipi serikali inayotoza 230K kwa kupima tu?!Hivi Mkurugenzi wa hiyo hospitali ni nani?
Hawa watakua ni wafanyabiashara tena wasiojua maana ya kuwa taasisi inayotoa huduma ya afya. Sijawahi kuona hospitali kukataa wagonjwa kwa sababu yoyote ile.
Halafu shida ya mfumo wa upumuaji sio lazima iwe corona, inaweza kuwa hata blood pressure au tatizo lingine
Kabudi aliifuata dawa yake MadagascarMagonjwa ya Mifumo ya Hewa ndio yapi?
Ukijifanya unaleta kiburi, uwezo wa kuwafungia with immediate effect upo 100%. Sasa endelea kuleta fyo fyo fyo hapa!Mbona JPM anasema kajenga hospitali "kwa maelfu", si waende huko wakatibiwe bei karibu na bure?
😂😂😂 kakutibua...Niko kwenye hilo hiti na mamyako.... na sijui mlikua mnaongea nini hadi akakuhadithia mambo ya wanawake? Mfyuuu
Kuna tofauti kati ya biashara ya kuuza beer na kutoa huduma ya afya. Kama hujui sheria na miongozo ya watoa huduma za afya usikurupuke, tulia weweeee
Wacha regulators waongee