Shock: Hospitali ya Kairuki yakataa wagonjwa wa ugonjwa wa mifumo ya hewa kijanja, yaweka bei isiyowezekanika kwa Watanzania wengi

Barua za Gerson Msigwa kwenda kwa vyombo vya habari,ulishawahi ona ina muhuri???? Logo pekee inatosha kabisa
Hivi Gerson Msigwa mbona kawa kimya sana? Page yake kule Twitter iko kimya sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si uende Muhimbili, Bugando, vituo vya afya etc? Kairuki wataenda wenye hizo fedha...
 
Hata kama zingekuwa zimejengwa mamilioni ya hospitali, mfumo wa afya Tanzania upo regulated na serikali. Huduma ya afya si biashara huria kwamba wajipangie bei wanazotaka wao.
Kwa hiyo pale Agakhan huduma zake costs ni sawa na Mwananyamala au Amana siyo??
 
Kama mtu anaweza kulipishwa dola 100 kwa nini asilipe milioni huko Kairuki??
 
Missile of the Nation, si unafahamu ukitaka kusafiri nje ya nchi unatakiwa kwenda kupima korona kwenye maabara ya serikali na gharama ya vipimo ni zaidi ya sh 200K?! Sasa jiulize: Ikiwa kupima tu, tena kwenye maabara za serikali tunaambiwa kulipa zaidi ya 200K; seuze kutibiwa tena hospitali binafsi!!!
 
safi sana kmmmmmmmk, Jiwe kamwaga mboga, Kairuki anamwaga ugali
 
Kama wanaotibu kwa 600K wanafanya biashara, na vipi serikali inayotoza 230K kwa kupima tu?!
 
😂😂😂 kakutibua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…