Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Kumbe hichi ndo kifaransa chake?😀Le kovidi
Everyday is Saturday................................😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hichi ndo kifaransa chake?😀Le kovidi
Ni watu wenye hasira na serikali yao sasa wanadhani kuunga mkono bei komoa za taasisi binafsi za afya ni kuikomoa serikali kumbe ni kwa hasara yao.Missile naona umepata vidonge vyako kwenye huu uzi wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe huna maana kabisa! Unajua uendeshaji wa Private institutions kuwa ni wa ghali sana? Nani afidie gharama hizo? Hii siyo hospitali ya dini kuwa mtaji wake ulichangiwa na waumini bwasheeKatika hali inayoonekana ni muendelezo wa maisha magumu kwa wananchi.
Hospitali ya Kairuki nchini imekuja na utaratibu wa kushangaza wa kutoza malaki ya hela kwa siku kwa mtu atakayeenda katika hospitali hiyo kutibiwa ugonjwa wa mifumo ya hewa.
Katika utaratibu huo mgonjwa yeyote atakayekwenda kupata huduma ya ugonjwa wa mfumo wa hewa, Hospitali hiyo itamtoza shilingi Laki sita kwa siku (600000)kama hatahitaji huduma ya Ventilator. Na kama atahitaji huduma ya ventilator basi atalazimika kulipa shilingi Laki nane na nusu (850000).
Nilipokuwa naongea na wananchi kuhusiana na suala hili, wengi wameonyesha kuwa na wasiwasi kuwa hospitali hiyo inataka kuwakimbiza wananchi wenye matatizo hayo wasiende kwenye hospitali hiyo. Na kwa kuwa ni kinyume cha maadili ya kidaktari kukataa kuhudumia mgonjwa basi hospitali hiyo inataka kukwepa kuhudumia wananchi katika maradhi hayo kijanja.
Kwa kweli hili jambo ni la kusikitisha na la kutia aibu kwa wamiliki na waendesha hospitali hiyo.
Kwanza kuna maswali ya kujiuliza, kwa nini hatua hii ya ajabu ije kwenye kipindi hiki cha Korona?.
Je, ni kweli kuwa kwa utaratibu huu hospitali hiyo inafukuza wananchi wanaohitaji huduma hiyo kijanja kwa kisingizio cha pesa?
Na kama hailengi kukwepa wajibu wa kuhudumia wagonjwa, je wamiliki wa hiyo hispitali wameamua kyigeuza Korona kuwa dili, yaani kuvuna mamilioni ya pesa kupitia wananchi wanaohitaji huduma ya hospitali?
Je, kuna baraka za serikali katika hatua hii, ili kulazimisha wananchi wafanye tiba mbadala majumbani ili takwimu halisi za wenye ugonhwa wa Korona zisipatikane?
Tunaitaka serikali kupitia Waziri wa Afya aingilie kati suala hili.
Tunajua serikali inayo mamlaka ya kuingilia kati utendaji wa hospitali zote nchini katika mfumo wao wa utoaji huduma nchini.
Tunamtaka Waziri wa Afya aje public atueleze kama anaunga mkono kitendo kama hiki cha hospitali ya Kairuki ili hiki walichokifanya kisije kikageuka kuwa mfano wa hospitali nyingine.
Ubaya wa kitendo cha hospitali ya Kairuki, hawshaspecify hata uhonjwa husika, wametumia magonjwa ya mfumo wa hewa!. Kwa hiyo watoto wetu wachanga wakipata nimonia ya kawaida kabisa isiyokuwa hata hiyo Korona ndo mnataka kuwatoza Laki nane na nusu kwa siku? - Hii hospitaki inataka tupoteze hata watoto wetu kwa sababu ya watu wenye mawazo. mfu wachache!
Tunataka hii hospitali ibadirishe huu utaratibu maramoja!. Mwanzilishi wa hii hospitali hayati profesa Kairuki atakuwa anajigeuza kaburini sasa kwa baadhi ya cowards wachache kutaka kuwatosa wananchi katika kipindi hiki kigumu cha kiafya duniani!
Hili halikubaliki:
Angalia fomu hii hapa chini kutoka hospitali hiyo.
View attachment 1692378
Mishahara wanalipaje?Siasa unaleta wewe Hamatan
Unazijua taratibu na sheria za kuendesha taasisi ya afya!? Unajua hawa watoa huduma wanafanya kazi katika miongozo gani?
Hi sio biashara ya kuuza nguo bali ni kutoa huduma na kunusuru uhai wa watu
Ndugu unatakaje sasa, watu watibiwe bure? Hospitali za serikali zipo, watu waende huko.
hapo hapana tofauti sana naziziniHata Muhimbili hatolala wala Palestina.😀
Everyday is Saturday................................😎
Hivi kuna tangazo lolote la serikali linalo onesha Tanzania corona imerudi?Pale unapopandisha bei mara nyingi katika kipindi fulani cha ugonjwa wa mlipuko ni dhahiri kuna question mark. Kwa nini hizi bei hazikushoot kiasi hiki miezi kadhaa nyuma wakati tatizo la korona halikuwa kubwa nchini?
👊👊Ndugu unatakaje sasa, watu watibiwe bure? Hospitali za serikali zipo, watu waende huko.
HALI NI NGUMU, 600K TUNAPATA WAPI FASTA FASTA?
Aisee, pata picha unakaa mwezi hapo hospitalJeneza nafikiri bei yake cheap zaidi, kupanga ni kuchagua.
Aisee, pata picha unakaa mwezi hapo hospital