Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Duh pole yao, kwa bahati mbaya sikuwa member wa jf enzi zao, so siwafahamu! ila watu wameoana humu, si ajabu!Kazi kweli, kuna members hapa walikua ni wapenzi na ilikua inajulikana publicly jukwaani na kila mtu. Kuna siku waliachana wakaandika na uzi kuutangazia Umma wa wana-jf... Watu walihuzunika sana na kuwabembeleza wasiachane lakini ilishindikana...
Hmm wewe labda una madudu yako tu! ila kama huna mambo mengi mengi mnagusanisha tu! 😎Binafsi nilishangaa sana kama huu mtandao ambao mm nautumia kwa siri kuna wenzangu wana-interact na kukutanisha vikojoleo kabisa 🤣😂