Shocking: Inadaiwa Wanawake wengi wanaoenda gym wanaliwa na trainers!

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,843
Reaction score
29,350
Sijawahi kufikiria wala kudhani kuwa mazingira ya gym ni hatari kiasi hiki hadi niliposikiliza video hii hapo chini na kumshirikisha jamaa yangu mmoja ambaye anaenda gym mara kwa mara. Amenisimulia mambo mengi kuhusu ushenzy unnaofanywa na trainers huko gym hadi nimeogopa. Jamaa yangu kaniambia kwamba gym trainers wana mbinu nyingi za kumtia nyege mwanamke kupitia mazoezi yanayoitwa kejel exercises.

Katika mazoezi hayo huwa wanakuwa karibu na mwanamke hadi wakati mwingine wanagusana. Na ukizingatia mwili unakuwa na joto baada ya mazoezi, basi mwanamke hushikwa na nyege kwa kiasi kikubwa sana.

Baada ya mazoezi, trainer humlaza chini mwanamke na kuanza kumshikashika akimnyoosha viungo vya mwili. Kuna maeneo ambayo akimshika mwanamke ana relax kama vile yupo kwenye massage parlour. Katika hali ya kawaida, ukifanikiwa kumrelaxisha mwanamke yeyote lazima umle tu hakuna namna.

MAONI YANGU
Anachosema huyu trainer kwenye video ni kweli kabisa. Ameamua kuwa muwazi ili kuokoa wengi. Wanaume wenye wake zenu ambao bado mnawapenda kwa dhati, msiwaruhusu hata kidogo kwenda gym. Mwanamke hata awe mgumu kiasi gani, trainer wa gym akitaka kumla lazima atamla 💯%. Hata kama angekuwa mtawa. Labda asiwe na mvuto. Kuweni makini na wake zenu jamani✍️
​
 
hii habari haina umuhimu kwa sababu wanawake wanaoenda gym ni asilimia ndogo sana ya wanawake wote yaani almost 0.00005% ya wanawake so ya nini kuijadili ni sawa nianzishe maada kusema ukiona mkeo kaenda kusoma harvad university lazima ataliwa huko..sasa unakuta hata wanawake wanaoenda harvad hawafiki 100...gym huko katika wanawake 10000 unakuta ni mmoja ana uwezo kulipia
 
Sasa kama kila atakapokwenda mwanamke anajiuza au ataliwa mbona kasheshe! kwahiyo waungwana mnashauri mwanamke aende wapi ambapo hatoliwa? Mnaonaje nyie pia mkajitune kuacha kununua au kula wanawake hovyo! maana mnaolalamika hivi ndio walaji, au wanakulana wao kwa wao?
 
Sasa hata hiyo asilimia ndogo inayoenda gym unataka waambukizwe UKIMWI hadi lini mkuu?
 
  1. Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda kazini wanaliwa na mabosi.
  2. Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda kanisani wanaliwa na Wachungaji
  3. Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda hospitalini wanaliwa na madaktari
  4. Inadaiwa wanawake wengi wanaopanda pikipiki wanaliwa na ndege
  5. Inadaiwa wanawake wengi ma air hostess wanaliwa na mapilot
  6. Wanawake wanaoenda kwa wataalam wanaliwa na waganga
The list goes on and on........ This kuchapiwa paranoia has been a poor man's cry siku zote. Tutafute hela tu mwanetu tuwe tuna-stress za hisa kushuka na currency kubadilika😂😂
 
Sasa kama kila atakapokwenda mwanamke anajiuza au ataliwa mbona kasheshe! kwahiyo waungwana mnashauri mwanamke aende wapi ambapo hatoliwa? Mnaonaje nyie pia mkajitune kuacha kununua au kula wanawake hovyo! maana mnaolalamika hivi ndio walaji, au wanakulana wao kwa wao?
Kila mwanaume amuwekee nyumbani gym ndogo. Vinginevyo ataendelea kuliwa hadi Yesu atakaporudi.
 
Sijawahi kufikiria wala kudhani kuwa mazingira ya gym ni hatari kiasi hiki hadi niliposikiliza video hii hapo chini na kumshirikisha jamaa yangu mmoja ambaye anaenda gym mara kwa mara. Amenisimulia mambo mengi kuhusu ushenzy unnaofanywa na trainers huko gym hadi nimeogopa. Jamaa yangu kaniambia kwamba gym trainers wana mbinu nyingi za kumtia nyege mwanamke kupitia mazoezi yanayoitwa kejel exercises.

Katika mazoezi hayo huwa wanakuwa karibu na mwanamke hadi wakati mwingine wanagusana. Na ukizingatia mwili unakuwa na joto baada ya mazoezi, basi mwanamke hushikwa na nyege kwa kiasi kikubwa sana.

Baada ya mazoezi, trainer humlaza chini mwanamke na kuanza kumshikashika akimnyoosha viungo vya mwili. Kuna maeneo ambayo akimshika mwanamke ana relax kama vile yupo kwenye massage parlour. Katika hali ya kawaida, ukifanikiwa kumrelaxisha mwamke yeyote lazima umle tu hakuna namna.

View attachment 3626258
MAONI YANGU
Anachosema huyu trainer kwenye video ni kweli kabisa. Ameamua kuwa muwazi ili kuokoa wengi. Wanaume wenye wake zenu ambao bado mnawapenda kwa dhati, msiwaruhusu hata kidogo kwenda gym. Mwanamke hata awe mgumu kiasi gani, trainer wa gym akitaka kumla lazima atamla 💯%. Hata kama angekuwa mtawa. Labda asiwe na mvuto. Kuweni makini na wake zenu jamani✍️
​
Hii ni known issue mbona
 
Asilimia kubwa wanao enda gym, sio wake za watu, wengi ndoa zao zimeteteleka, single Maza, wadangaji, wenye heshima zao wapo wachache sana ni kama 0.0000000001, hivo anaenda kuliwa gym huyo ni msela na analiwa popote, mke wa davido chioma mbona naposti Yuko gym Kwa hiyo naye analiwa na trainer?, mke wa Ronaldo?, kaka kama ulioa malaya utakomaa lazima ashugulikiwe mara Moja, ni amri sio ombi🤣🤣🤣🫵 hukulazimishwa kuoa si ulifata Tako tulia tukuoneshe 🫵🤣🔥🔥🔥🍆
 
Kuzaliwa mwanaume zamani tulisema ni shida ila sasa mwanamke imekuwa shida zaidi .
Akikapenda kajamaa mshenzi akakazalia mara kamkimbie dunia imuite single mama asiye na akili .

Akikapenda kajamaa kwakuwa hakana mbele wala nyuma nako kanakuja kumsaliti kwa wamama wengine ,dunia inamuandama mwanamke wa watu kuwa akili hana .

Akiolewa basi ndani awe mtumwa wa kufua ,kupika na kukaogesha ka mwanaume

Basi mdada wa watu amejaaliwa ajira asubuhi yupo kwenye gari lake kwenda kazini na jioni yupo barabarani na gari lake anasema walau npite gym niweke afya sawa maana kutwa mzima ameshinda amekaa anaandika mafile mengine ya tuwanaume twa hapa hapa duniani nako wanasema anaenda kujiuza .

Sqsa nauliza kama ni hivyo basi wenzetu hawa imebidi wawe mifugo kwamba ashinde ndani na asikae na yeyote zaidi ya wanaye na mmewe ,je ninyi wanaume wenzangu mngeweza ?

Ukweli ni kuwa kosa la mwanamke mmoja tusilijumuishe na wanawake wote haiko hivyo na ingekuwa hivyo wengi wasingeowa .

Zaidi ukiweka sana mawazo ya mkeo kuliwa basi na wewe unawala wa nje hivyo una wasiwasi wa kuibiwa kama unavyojiiba .

Tusiwawazie mabaya kwa kila jambo mbona sisi yetu ni mengi au mpaka waje kutuchamba hapa ?

Man to man ,karibu mnitukane niwanyoloshe leo niko gado sana
 
Sasa kama kila atakapokwenda mwanamke anajiuza au ataliwa mbona kasheshe! kwahiyo waungwana mnashauri mwanamke aende wapi ambapo hatoliwa? Mnaonaje nyie pia mkajitune kuacha kununua au kula wanawake hovyo! maana mnaolalamika hivi ndio walaji, au wanakulana wao kwa wao?
Alietoa post hii amechelewa Sana kujua hili.....
Haina hata haja ya kulalamika kwakua haya ni maisha ya kila siku na huwez kuliwa Wala kununua Kama huhitaji so gym ni sehem Kama sehem nyengine mtu anaweza asijiuze gym akajiuza online....
 
Kuzaliwa mwanaume zamani tulisema ni shida ila sasa mwanamke imekuwa shida zaidi .
Akikapenda kajamaa mshenzi akakazalia mara kamkimbie dunia imuite single mama asiye na akili .

Akikapenda kajamaa kwakuwa hakana mbele wala nyuma nako kanakuja kumsaliti kwa wamama wengine ,dunia inamuandama mwanamke wa watu kuwa akili hana .

Akiolewa basi ndani awe mtumwa wa kufua ,kupika na kukaogesha ka mwanaume

Basi mdada wa watu amejaaliwa ajira asubuhi yupo kwenye gari lake kwenda kazini na jioni yupo barabarani na gari lake anasema walau npite gym niweke afya sawa maana kutwa mzima ameshinda amekaa anaandika mafile mengine ya tuwanaume twa hapa hapa duniani nako wanasema anaenda kujiuza .

Sqsa nauliza kama ni hivyo basi wenzetu hawa imebidi wawe mifugo kwamba ashinde ndani na asikae na yeyote zaidi ya wanaye na mmewe ,je ninyi wanaume wenzangu mngeweza ?

Ukweli ni kuwa kosa la mwanamke mmoja tusilijumuishe na wanawake wote haiko hivyo na ingekuwa hivyo wengi wasingeowa .

Zaidi ukiweka sana mawazo ya mkeo kuliwa basi na wewe unawala wa nje hivyo una wasiwasi wa kuibiwa kama unavyojiiba .

Tusiwawazie mabaya kwa kila jambo mbona sisi yetu ni mengi au mpaka waje kutuchamba hapa ?

Man to man ,karibu mnitukane niwanyoloshe leo niko gado sana
Tuanze mpambano mkuu 😎
 
  1. Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda kazini wanaliwa na mabosi.
  2. Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda kanisani wanaliwa na Wachungaji
  3. Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda hospitalini wanaliwa na madaktari
  4. Inadaiwa wanawake wengi wanaopanda pikipiki wanaliwa na ndege
  5. Inadaiwa wanawake wengi ma air hostess wanaliwa na mapilot
  6. Wanawake wanaoenda kwa wataalam wanaliwa na waganga
The list goes on and on........ This kuchapiwa paranoia has been a poor man's cry siku zote. Tutafute hela tu mwanetu tuwe tuna-stress za hisa kushuka na currency kubadilika😂😂
Na wanaobaki nyumbani wanaliwa na watengeneza kucha!
 
Back
Top Bottom