Shocking: Inadaiwa Wanawake wengi wanaoenda gym wanaliwa na trainers!

Duh! Basi oeni wanawake wasio na mvuto! Dunia haiwezi kwenda kwa matakwa yenu, malaya wataendelea kushikilia hatamu tu! Huwezi ku control ulimwengu, kuna tabia hata uikeepe vipi kuna kona ukikata utakutana nazo tu! Kuna sehemu nimesoma mtu kaandika UMalaya ndio taaluma ya kwanza dunaini.. so 🤷🏽‍♀️
Suluhisho ni kuwazuia wake wasiende gym. Ikibidi mume aweke gym nyumbani akija trainer anakuwepo kuhakikisha usalama. Vinginevyo atadinyiwa hadi achanganyikiwe. Na mwanamke akianza kudinywa na trainer akija nyumbani hana nyege hata moja. Ni shida sana mkuu.
 
Duhh! Tulipofiki, ndoa inageuka kama kichaka cha kujifichia tu! Lakini uhalisia mtu anajua ndani yake kuna nini!
 
Sijawahi kufikiria wala kudhani kuwa mazingira ya gym ni hatari kiasi hiki hadi niliposikiliza video hii hapo chini na kumshirikisha jamaa yangu mmoja ambaye anaenda gym mara kwa mara. Amenisimulia mambo mengi kuhusu ushenzy unnaofanywa na trainers huko gym hadi nimeogopa. Jamaa yangu kaniambia kwamba gym trainers wana mbinu nyingi za kumtia nyege mwanamke kupitia mazoezi yanayoitwa kejel exercises.

Katika mazoezi hayo huwa wanakuwa karibu na mwanamke hadi wakati mwingine wanagusana. Na ukizingatia mwili unakuwa na joto baada ya mazoezi, basi mwanamke hushikwa na nyege kwa kiasi kikubwa sana.

Baada ya mazoezi, trainer humlaza chini mwanamke na kuanza kumshikashika akimnyoosha viungo vya mwili. Kuna maeneo ambayo akimshika mwanamke ana relax kama vile yupo kwenye massage parlour. Katika hali ya kawaida, ukifanikiwa kumrelaxisha mwamke yeyote lazima umle tu hakuna namna.

View attachment 3626258
MAONI YANGU
Anachosema huyu trainer kwenye video ni kweli kabisa. Ameamua kuwa muwazi ili kuokoa wengi. Wanaume wenye wake zenu ambao bado mnawapenda kwa dhati, msiwaruhusu hata kidogo kwenda gym. Mwanamke hata awe mgumu kiasi gani, trainer wa gym akitaka kumla lazima atamla 💯%. Hata kama angekuwa mtawa. Labda asiwe na mvuto. Kuweni makini na wake zenu jamani✍️
​
Sasa kwa jinsi wanavyovaa skin tight na kubinuliwabinuliwa vile utaacha kuwatafuna?
 
Kuna wenzenu wanasema wanawake wanakiwa huko mihangaikoni pia! Imeshakuwa kila kona wanawake kazi yao ni kuliwa tu as if hakuna mambo zingine za kufanya!
Wanaume tuna taabu sana. Sijui hawa wanawake zetu tukawafiche wapi. Na wakienda kwa wale vijana waweka kucha nao wanawala vibaya sana. Siku moja nilimkuta mke wangu kainamishwa na mchonga kucha kidogo nimtoe ngeu yule kijana. Wanashikashika wake za watu hadi mapajani eti wanawaosha miguu. Hivi wanawake wa siku hizi wamekuwa midori hadi hawawezi kujisafisha wenyewe miguu hadi wasafishwe na vijana au kuna kitu wanakitafuta?
 
Duhh! Tulipofiki, ndoa inageuka kama kichaka cha kujifichia tu! Lakini uhalisia mtu anajua ndani yake kuna nini!
Kweli kabisa mkuu. Wanaume tuna taabu sana. Wake zetu wanaliwa hadi na shamba boys? Mungu atusaidie.
 
  1. Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda kazini wanaliwa na mabosi.
  2. Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda kanisani wanaliwa na Wachungaji
  3. Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda hospitalini wanaliwa na madaktari
  4. Inadaiwa wanawake wengi wanaopanda pikipiki wanaliwa na ndege
  5. Inadaiwa wanawake wengi ma air hostess wanaliwa na mapilot
  6. Wanawake wanaoenda kwa wataalam wanaliwa na waganga
The list goes on and on........ This kuchapiwa paranoia has been a poor man's cry siku zote. Tutafute hela tu mwanetu tuwe tuna-stress za hisa kushuka na currency kubadilika😂😂
Huo ndiyo ukweli ingawa mchungu.

Cases nyingi sana za hao uliowataja kuliwa.

Kati ya wanawake 10 basi 6 washaliwa na hao uliowamensheni.
 
Wanaume tuna taabu sana. Sijui hawa wanawake zetu tukawafiche wapi. Na wakienda kwa wale vijana waweka kucha nao wanawala vibaya sana. Siku moja nilimkuta mke wangu kainamishwa na mchonga kucha kidogo nimtoe ngeu yule kijana. Wanashikashika wake za watu hadi mapajani eti wanawaosha miguu. Hivi wanawake wa siku hizi wamekuwa midori hadi hawawezi kujisafisha wenyewe miguu hadi wasafishwe na vijana au kuna kitu wanakitafuta?
Sio wote mkuu, wanawake wengine wana hizo tabia chafu wenyewe! Mimi nina ofisi ya kucha kijana wangu anatongozwa sana na hawa viumbe ana anawala sana wengi ni wakubwa tu! Kwahiyo ni tabia zao wenyewe! Kama mwanamke hataki huwezi ukamkuta anamchekea mtengeneza kucha! Kuna wanaume wanakuja na wanakwambia kama unatengeza wewe mwneyewe nimruhusu mke wangu awe anakuja kuhudumiwa na wanakuja! Ni mtu binafsi kukubali au kukataa mtalaumu watu tu! Kuna wanawake hawapendi ujinga nakwambia!
 
sasa boy mwananmke si kiumbe dhaifu au hujawahi kuona wauza mkaa wanavyowala wake za watu mitaani? wanawake wachache wenye hofu ya MUNGU ndo hawana huo ushenzi the rest is history mzee
 
Wanawake waliwe tu hakuna namna.
Muuza nyama buchani, muuza matunda, mpemba wa dukani, dereva wa bodaboda wote hao wamejipanga kuwala hivyo hata mwalimu wa mazoezi naye acha ale tu.
 
Sijawahi kufikiria wala kudhani kuwa mazingira ya gym ni hatari kiasi hiki hadi niliposikiliza video hii hapo chini na kumshirikisha jamaa yangu mmoja ambaye anaenda gym mara kwa mara. Amenisimulia mambo mengi kuhusu ushenzy unnaofanywa na trainers huko gym hadi nimeogopa. Jamaa yangu kaniambia kwamba gym trainers wana mbinu nyingi za kumtia nyege mwanamke kupitia mazoezi yanayoitwa kejel exercises.

Katika mazoezi hayo huwa wanakuwa karibu na mwanamke hadi wakati mwingine wanagusana. Na ukizingatia mwili unakuwa na joto baada ya mazoezi, basi mwanamke hushikwa na nyege kwa kiasi kikubwa sana.

Baada ya mazoezi, trainer humlaza chini mwanamke na kuanza kumshikashika akimnyoosha viungo vya mwili. Kuna maeneo ambayo akimshika mwanamke ana relax kama vile yupo kwenye massage parlour. Katika hali ya kawaida, ukifanikiwa kumrelaxisha mwamke yeyote lazima umle tu hakuna namna.

View attachment 3626258
MAONI YANGU
Anachosema huyu trainer kwenye video ni kweli kabisa. Ameamua kuwa muwazi ili kuokoa wengi. Wanaume wenye wake zenu ambao bado mnawapenda kwa dhati, msiwaruhusu hata kidogo kwenda gym. Mwanamke hata awe mgumu kiasi gani, trainer wa gym akitaka kumla lazima atamla 💯%. Hata kama angekuwa mtawa. Labda asiwe na mvuto. Kuweni makini na wake zenu jamani✍️
​
Hivi ishu ni kuliwa au kuliwa na GYM trainer? wanawake wanaliwa, na, maboss wao, wafanyakazi wenzao, ma house boy, ma boda boda,! Wachungaji wao, mashed wao, Sasa, cha ajabu ni ni!
 
Back
Top Bottom