The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,855
- 28,752
Jamaa unaleta taharuki,shocking news kwa wale wake zao wanaenda huko mazoezini siyo kila mke wa mtu anaenda gym.
Ila huyu dogo nae aangalie mdomo wake,anaposema nitamla tu vipi hana mwanamke aliyekuwa mke wa mtu aliyewahi kumfundisha mazoezi?if yes,waume zao hao wanawake watamchukuliaje wakiiona hii interview!