Duh pole yao, kwa bahati mbaya sikuwa member wa jf enzi zao, so siwafahamu! ila watu wameoana humu, si ajabu!Kazi kweli, kuna members hapa walikua ni wapenzi na ilikua inajulikana publicly jukwaani na kila mtu. Kuna siku waliachana wakaandika na uzi kuutangazia Umma wa wana-jf... Watu walihuzunika sana na kuwabembeleza wasiachane lakini ilishindikana...
Hmm wewe labda una madudu yako tu! ila kama huna mambo mengi mengi mnagusanisha tu! 😎Binafsi nilishangaa sana kama huu mtandao ambao mm nautumia kwa siri kuna wenzangu wana-interact na kukutanisha vikojoleo kabisa 🤣😂
Mkuu watu walishainamishana sana humu jf. Unakwama wapi wewe?Kazi kweli, kuna members hapa walikua ni wapenzi na ilikua inajulikana publicly jukwaani na kila mtu. Kuna siku waliachana wakaandika na uzi kuutangazia Umma wa wana-jf... Watu walihuzunika sana na kuwabembeleza wasiachane lakini ilishindikana... Binafsi nilishangaa sana kama huu mtandao ambao mm nautumia kwa siri kuna wenzangu wana-interact na kukutanisha vikojoleo kabisa 🤣😂
Anatupanga huyu😀Mkuu watu walishainamishana sana humu jf. Unakwama wapi wewe?
Mkuu jamaa hajaleta taharuki bali ameamua kuweka mambo hadharani na kutubu dhambi za kula wake za watu. Kosa lake nini?Jamaa unaleta taharuki,shocking news kwa wale wake zao wanaenda huko mazoezini siyo kila mke wa mtu anaenda gym.
Ila huyu dogo nae aangalie mdomo wake,anaposema nitamla tu vipi hana mwanamke aliyekuwa mke wa mtu aliyewahi kumfundisha mazoezi?if yes,waume zao hao wanawake watamchukuliaje wakiiona hii interview!
Kitambo sana, nasubiri tu nauli nisepe!😁Tuma maombi PM mmalizane mkuu😂😅🤣
Nitakupa mrejesho👌🏽Kaonyeshe maufundi mama. Kaweke heshima🤣😅😂