Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Uhuru wa kidemokrasia jamani πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
 
🀣🀣🀣🀣 wizo hanaga show mbovu ohh
 
Tulia wewe tutafute usingizi kwa kutanua mbavu 🀣🀣🀣🀣
Alafu nimegundua kuna watu wanapitia hapa kimya kimya..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Badae PM kule tunashtuliwa kuwa makini, jamani weee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uhuru wa kidemokrasia jamani πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Wizo shangazi wa nguvu mi skupingi kabisa an
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa mabakuliii sio kwa upwiru huu ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

we kuweza?
Wizo puliiiiiiizzzzz naomba niache πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Kwahiyo kumbe mna jambo lenu??
 
Wazazi tukiona hivi matumbo ya uzazi hadi yanatetemeka
 
🀣🀣🀣🀣 wizo hanaga show mbovu ohh
Wizo nampa saloot..
Kuna watu wake huwa ana watagi.
Sasa hiyo ita yake daah huwa nacheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alafu nimegundua kuna watu wanapitia hapa kimya kimya..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Badae PM kule tunashtuliwa kuwa makini, jamani weee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 hao ndio wanaoreport
 
🀣🀣🀣🀣🀣 hao ndio wanaoreport
Ndio wana report...
Mwanzoni niliwambia mi kule mda mwingine sijui anaongelewa nani ila tuu napita na comment kufurahi tu...

Ila wapi wakanijumuisha na mimi mweeeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…