Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
una jua kumbana hadharani no risky, so huko ata sema tu kwa kina.Yaaah inawezekana kabisaa
😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaah noma sanaa aiseeuna jua kumbana hadharani no risky, so huko ata sema tu kwa kina.
Mwali mwali mwali mwaliBoby risky a.k.a mjuba aliye left group la makamanda.
Hatimaye ame hukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya naira.
hakimu ame muondolea kipengele Cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja.
naona wali msaka long time, Sasa ame jaa.
View attachment 2961950View attachment 2961951View attachment 2961952
Dah ila binadam ngoja wakamfilimbe huko.Ame hojiwa mahakamani, kasema ye wa kiume. So kapelekwa huko.
View attachment 2961954
Kasha tafunwa saa hii, maana madungwa JanaMwali mwali mwali mwali
Manyapara watakuwa wanammezea mate Sasa hivi
🤣🤣🤣🤣
Kifo chake kime wadiaDah ila binadam ngoja wakamfilimbe huko.
Imekaa vibaya by kali popote, 😂Mwali mwali mwali mwali
Manyapara watakuwa wanammezea mate Sasa hivi
🤣🤣🤣🤣
Hata huko inaweza kuzua gumzo vibaya mno ! Na ndo wakamwongezea fame zaidi ! Mashirika kama Amnesty yakisimama issue itarise pia huko nje jela huwa wana utaratibu wa kuwafungia kwenye maeneo maalum ili asipitie bullying ! Wanaweza kumweka kwenye maeneo kama wanayokaa wale wanaosubiria hukumu za kunyongwa na vifungo vya maisha.una jua kumbana hadharani no risky, so huko ata sema tu kwa kina.
😄😄😄😄Ndio maana ukasema kacheza kama Pele!?Na mimi ndo nilivyoona
Una Kumbuka alicho kisema Harris Kamala??, na utaratibu wa jela za kiafrika SI una upata??Hata huko inaweza kuzua gumzo vibaya mno ! Na ndo wakamwongezea fame zaidi ! Mashirika kama Amnesty yakisimama issue itarise pia huko nje jela huwa wana utaratibu wa kuwafungia kwenye maeneo maalum ili asipitie bullying ! Wanaweza kumweka kwenye maeneo kama wanayokaa wale wanaosubiria hukumu za kunyongwa na vifungo vya maisha.
Kakemee huko naija, hapa unatupigia keleleThis is UNACCEPTABLE we should all be equal in eye of the law, hichi kitendo cha kumpa hukumu ya jela moja kwa moja pasipo faini ni cha kukemewa kwa nguvu zote.
Kwanza lipesa lenyewe la naira halina cha kujivunia chochote kwenye masoko ya fedha, watu huku Amerika tunawachambisha striper kwa dola na hamna anayepaniki. Kweli umasikini ni ushetani
Huenda ni wale wale tu 😂Kakemee huko naija, hapa unatupigia kelele
Yah ndo utaratibu nadhaniSerikali ya Nigeria imesema itamlinda na kumkinga dhidi ya sex predators huko lupango. Na pia watampa selo lake mwenyewe spesho. Although za chini chini kabisa, nikuwa Kuna drug lord kafungwa jela X na alikuwa akimpa sana sapoti bwana okuneye. Sasa baada ya kufungwa huyo kingpin, ikawa hapati viuno vya bwana okuneye. Hivyo wakaona njia pekee nzuri nikutengeneza mazingira ya kuwa pamoja kwa atleast a short time.
Hao transgenders Nigeria ni wengi na hakuna mtu ana muda nao, kwahiyo bwana okuneye alikuwa hatufutwi na mtu.
Biashara ipi jera? wafungwa uwalipishe pesa wametoa wapi? huko wanyonge wa kiume wanalawitiwa sana sembuse hiyo chakula ndo wailipe? watamuua huko labda apate mbabe wa kumkingia kifua.Na mimi ndo nilivyoona
Kama ni swali wewe umeenda oppositeBiashara ipi jera? wafungwa uwalipishe pesa wametoa wapi? huko wanyonge wa kiume wanalawitiwa sana sembuse hiyo chakula ndo wailipe? watamuua huko labda apate mbabe wa kumkingia kifua.
Sio rahisi, selo mfungwa anakaa muda wa kulala tu huyo sio mahabusu ni mfungwa.Serikali ya Nigeria imesema itamlinda na kumkinga dhidi ya sex predators huko lupango. Na pia watampa selo lake mwenyewe spesho. Although za chini chini kabisa, nikuwa Kuna drug lord kafungwa jela X na alikuwa akimpa sana sapoti bwana okuneye. Sasa baada ya kufungwa huyo kingpin, ikawa hapati viuno vya bwana okuneye. Hivyo wakaona njia pekee nzuri nikutengeneza mazingira ya kuwa pamoja kwa atleast a short time.
Hao transgenders Nigeria ni wengi na hakuna mtu ana muda nao, kwahiyo bwana okuneye alikuwa hatufutwi na mtu.
Na ni juzi tu kafanya Surgery nyingine tena...Sijui itakuwaje...[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mikorogo sasa asipobeba, akitoka huko atakua mkaa