Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Siku hizi sina mood ya kugombana kabisaaa..!! Nishachoka battle zote naibukaga mshindi, nawaachia underground
Bado hujagombana na mabakuli nione mtanange wa vumbi kutifuka dadeki zenyu
 
Usi nihusihe na vitu vya ajabu mkuu, ain't part of this shit madam.
Yaishe tusome comments bac mwenzio sina vibe kabisaaa la kubishana..!!
Sijui nimeanza kukua ss hivi, yani ile mizuka km ya zamani haipo kabisa.!!

Au ww unaonaje?? 🀣🀣🀣
 
Au ww unaonaje?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msinichekeshee hapa sahivi, khaaaah
 
Yaishe tusome comments bac mwenzio sina vibe kabisaaa la kubishana..!!
Sijui nimeanza kukua ss hivi, yani ile mizuka km ya zamani haipo kabisa.!!

Au ww unaonaje?? 🀣🀣🀣
Gombaneni vumbi litibukee dadeki zenyuuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii.
Udugu ss hivi nimekuwa mvivu kweli tena!! Jana kuna mwingine aliibuka na mikwara kibao utasema drone za Iran muda wowote zinatua mwilini mwangu 🀣🀣🀣🀣
Chaajabu nikabaki namshangaa nikaona naye anatafuta kurudi mjini kwa kiki
 
mngegombana nije niokote vipande vya magego yaliyomeguka 😹😹
 
Wizo ss hivi naona nistaafu ugomvi nimechoka we mtu gani mimi kila battle nakuwa mshindi 🀣🀣🀣🀣

Ss hivi nasoma comments nacheka nasahau marejesho
 
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
 
Back
Top Bottom