Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli dunia ina mambo
 
Wakati mwingine nafikiria hawa watu wanazaliwa kinyume na maumbile kiasi wana enzi walikotokea!!
 
Wakati mwingine nafikiria hawa watu wanazaliwa kinyume na maumbile kiasi wana enzi walikotokea!!
 
Unajua haya machoko mengi yanasababishwa na mademu mizoga ya bongo

Wangekuwa Syria wangesha katwa shingo wote

Mimi huwa nashangaa mwanaume kupenda kutuma picha zake kwanye mitandao ya kijamii kuna walakini hapo

Mwanaume kupenda kujilamba lamba lips

Kuvaa milegezo , na kupenda offer ni hatari sana
Sodoma na gomorrha ilikua mji wa zaman palestina...aomachoko ndo walianzia huko mzee
 
Mbona mnampiga sana mawe kijana huyu?. Asiye na dhambi aendelee kumsema huyu kijana na wote mliompiga mawe ya maneno humu ndani mfute kauli zenu aisee mara moja. Huu ni udhaifu kama udhaifu mwingine wowote ule cha kufanya ni kila mzazi kuhakikisha anamfundisha mtoto wake njia impasayo naye ataiacha hata atakapokuwa mtu mzima. Leo hii has a wanaume tumekosa kuwa wawajibikaji tunadunga mabinti mimba tunasepa mwisho mtoto anapata malezi ya mzazi mmoja ama malezi ya mabibi na mababu zao hivyo kupelekea watoto kujilea wenyewe pasipo wazazi. Kingine ni zile familia zinazojifanya za kizungu wazazi wanarudi watoto wamekwisha lala 24/7 mwisho watoto wanaharibikiwa .
 
Kama kuna watu wana shobo za kukera hasa basi mashoga wanaongoza....wale binadamu wanajua kuongea nyoko wale...
Ogopa sana hiyo namba.ni mtoto mdyooogo ila kutaka makubwa inabidi wamfanyizie kama aunt Asu yule wa magomeni.Kwa walichomtenda alipotoka pale akaokoka na ushoga ameacha mpaka wa Leo huu.
 
Mkuu kinondoni yote imechafuka aisee.

Kuna mitaa inaitwa kwao TID karibu na kituo cha Studio pale, yaani ni aibu.

Watoto wanaharibiwa sana pale tena mchana mchana.
Vipi magomeni sasa???kila kona machoko ukiona walivyo wadogo na wanavyovifanya kama una mtoto wa kiume utalia mchozi wa motooo[emoji17] [emoji17] [emoji17] eeh Yarrabi tulindie vizazi vyetu[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Mwingine huyu yeye anajiweka Kama mwanamke kabisa
1612060d292002d696c32846213f2584.jpg
Maisha yamempiga mpaka anachoma visheti[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tena wadada maarufu ndio marafiki zao.!

Wanawatumia hawa mashoga kama madalali wa kuwanadi, picha lipo hivi, shoga anakuja anakuuliza una dola mia ukalale na XXXXXX, Ukikubali unatoa contact, mahali ulipo au hotel ulofikia, mida mibaya dau linashuka .
 
Duuu wanasema dunia imevaa sketi eti wanataka haki sawa wanasema wao ndivyo walivyouumbwa wanafunga ndoa kama zile zakawaida wanataka watambulike kisheria innalillahi msiba huu tutachomwa vibayaaa sisi wanaadamu siku za mwishoo looh! Tumrudie mungu
 
Back
Top Bottom