Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

Its funny watu wanavozidi kuupa uzi kiki kwa kucomment,wallah kama kweli watu hawapendi mambo hayo msipost kabisa kuhusu mashoga maana naona mkipost mnawapa promo sana..kama mimi nlikua simjui now nishamjua and there is no bad publicity hapo kishakua maarufu hata mabaazazi ambao hawamjui washamjua na watamtafutaa
 
kama kweli watu hawayapendi haya mambo mtu akipost ishu yoyote kuhusu ushoga potezeeni maana kama kuponda kwenu mnazidi kumpa promo,af wengine anatupia na picha yake nyingine af anamponda dah..
 
Mtoto wa kiume yuko soft balaa kuliko hata baadhi ya wa kike?!
 
Mwingine huyu yeye anajiweka Kama mwanamke kabisa
1612060d292002d696c32846213f2584.jpg
huyu anaitwa DIDA MTAMU
 
Hivi sheria inasemaje hapa..??. Jux kwanini asimshtaki huyu dogo. Maana anadhalilika kwa ubaladhuli huu..
 
x13402156_966527616779431_1291599322_n.jpg.pagespeed.ic.nhzZCkBotG.jpg


Vanessa Mdee ana ushindani mkali katika himaya yake ya mapenzi na Jux. Ushindani huo si kutoka kwa msichana mwenzake, bali kutoka kwa shoga maarufu Instagram, James Delicious.

Punga huyo amepania kumpokonya Vee Money tonge mdomoni. Pamoja na kuambulia mvua ya matusi kutoka kwa watanzania wanaokerwa na tabia yake hiyo, James haoneshi kujali.

“Mi mwenzenuuu.. Natabia mojaa.. Nikimpenda mtu lazmaa nimpateee. So wala msihangaikee. Kunihukumuuu… et dhambi. Dhambi mmeona hiii tuu eeh.. Veepe wale wanao dhin. ???? Veepe wale wanao uwaa??? Veepe wale wanao bakaa??? Veepe walee wanao sagana?? Veepe walee wanao salit ndoa zao??? Veepe wale wanao logaa..??? Veepe wale wano jiuzaa..????,” ameandika kwenye picha aliyoiunganisha na ya jux.

“Zambi zipo nyingi saana.. So wala msizanii kama hayo manneno yeeenu. Yanaweza kunivunja. Moyo. Ya sari yangu nnayoianza. Ya kumuwekaa kwenye himaya yangu. Huyu ninae mtakaa.. Nampeeenda mpaka najiihis kizungu zungu.. Tukana n kublock… ngoja ramadhan iishe,” ameongeza.

x13414272_171595229910132_1714975786_n.jpg.pagespeed.ic.CubChxzl5T.jpg

03112b7313cf84d554eb99904968a14c.jpg


Source: Bongo 5
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] namba yake nipeni maana kanavutia sana aseeee
 
Back
Top Bottom