Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

Kila mtu atajifanya ana hasira hapa. Truth be told, wengi sana siku hizi mnasifia jinsi mnavyopita milango haramu kwa mamanzi wenu; na tukiacha unafiki, that n!gga prettier than most of them chicks y'all do, so I doubt many of you would pass on the chance.
 
huyu mtoto ahojiwe ushoga alianzaje anayejua atupe historia yake. So sad kwa kweli!
 
Mi nilidhani mwanaume...
Sijui kama hawa wanaumbwa hivyo hivyo au mazingira...
Vee Money kazi anayo...kama kamzidi uzuri vile
 
Ee, Mola wangu fanya hima dunia ifike mwisho...[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hahaha ati anitwa nani ???
aunt james delicious.. Astghafurullah ... Tunakokwenda siko! Enzi hizo mashoga walikuwa wakijificha siku hizi wanatoka hadharani..
 
Mkuu kinondoni yote imechafuka aisee.

Kuna mitaa inaitwa kwao TID karibu na kituo cha Studio pale, yaani ni aibu.

Watoto wanaharibiwa sana pale tena mchana mchana.
Mtaan kwetu hapo studio wanaharibiwaje
 
laana ya hali ya juu sana...na huwa wanakufa vibaya mno! yaani MWENYE ENZI MUNGU aingilie kati!
 
Haka katoto kalitoa historia yake kamelelewa na mama tu Baba yake alikakataa watoto weng ambao hawana malez ya baba wanakuwa kindezndez sana

Mbona yule rio paul kalelewa na baba tu na ni choko maarufu?
 
Back
Top Bottom