Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

x13402156_966527616779431_1291599322_n.jpg.pagespeed.ic.nhzZCkBotG.jpg


Vanessa Mdee ana ushindani mkali katika himaya yake ya mapenzi na Jux. Ushindani huo si kutoka kwa msichana mwenzake, bali kutoka kwa shoga maarufu Instagram, James Delicious.

Punga huyo amepania kumpokonya Vee Money tonge mdomoni. Pamoja na kuambulia mvua ya matusi kutoka kwa watanzania wanaokerwa na tabia yake hiyo, James haoneshi kujali.

“Mi mwenzenuuu.. Natabia mojaa.. Nikimpenda mtu lazmaa nimpateee. So wala msihangaikee. Kunihukumuuu… et dhambi. Dhambi mmeona hiii tuu eeh.. Veepe wale wanao dhin. ???? Veepe wale wanao uwaa??? Veepe wale wanao bakaa??? Veepe walee wanao sagana?? Veepe walee wanao salit ndoa zao??? Veepe wale wanao logaa..??? Veepe wale wano jiuzaa..????,” ameandika kwenye picha aliyoiunganisha na ya jux.

“Zambi zipo nyingi saana.. So wala msizanii kama hayo manneno yeeenu. Yanaweza kunivunja. Moyo. Ya sari yangu nnayoianza. Ya kumuwekaa kwenye himaya yangu. Huyu ninae mtakaa.. Nampeeenda mpaka najiihis kizungu zungu.. Tukana n kublock… ngoja ramadhan iishe,” ameongeza.

x13414272_171595229910132_1714975786_n.jpg.pagespeed.ic.CubChxzl5T.jpg


Source: Bongo 5
Kwani jux anapenda hizo mambo?
 
daaahh huyu inatakiwa mnakuwa washkaji kama kumi afu mnapanga tu kila inapoingia jion anakula bakora hamsini na kuingizwa guchuma gwa moto huko nyuma,
 
Halafu uyu kijana anamatusi makubwa mnoo mpaka najiulizaga amezaliwa au alijambwa?
Halafu kwann TCRA wanabagua kukamata kwa maana post za uyu kijana ni matusi ya wazi kabisa hasa kwa Giggy money..
 
Wallahi dunia inakwenda mwisho,yani anajifaharisha kuliwa ringi?!
 
Mkuu sio poa kwan kulamba mdomo ni ushoga vijana wengi mbona wanalamba midomo hizo wanasema ni swagga tu



Swaga sio kujilamba lamba midomo ili iweje

Izo swaga ndo mwisho wa siku unapakatwa
 
Back
Top Bottom