BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Dhuuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kinondoni pale mtaa wa Wibu shoga mmoja alikuwa anaitwa aunt Alli alimtukana dada wa watu mpaka akatapika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhuuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kinondoni pale mtaa wa Wibu shoga mmoja alikuwa anaitwa aunt Alli alimtukana dada wa watu mpaka akatapika
Watu wenye bad face ndivo walivyo,, ila jarbu kumshukuru mungu kwa hicho hicho ulichonacho (Natania mkuu)
Hu
huwezi kua rejali alafu ukaramba midomo laxim utakua punga ama una vi elmnt vya ushoga
ha ha ha hakuna watu wana bahati bhana...hiyo bahati ya Jux ningepata mimi siku nyingi tu ningekuwa nishamalizana nae hata kwenye udaku isingefika
Umenichekesha aisee..Halafu lijanja kweli wala halijiharibu na mikorogo, hapa ndipo watoto wa kike walipopigwa bao.. wameshindwa kuikubali rangi yao.
Khaa!!!!!!! Mloge aiseeNinayo[emoji39] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
Tayari?Du! Dogo mtamu balaa!
Inawezekana wewe sio mtanzania, hv ndo tuseme huelewi maana ya neno (Natania) staki kuamin du!!!Bad face ndo nini kuwa na jicho moja?? Au kuwa na pumbu usoni??
Wote tu sawa tena nina uhakika Mimi ni shababi kuliko wewe
Huwa sijilambi midomo
Sina mapozi ambayo wewe unayaita swaga
Sinyoi nywele ndivyo sivyo
Endelea na mapozi siku ukipakatwa ndo utajua nini maana ya kuwa kiume