Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

hivi huyu mtoto kwanini wasimshikishe adabu

maana hana adabu...
 
Hahaaa!,... eti veepee!, msihukumu.

"DELICIOUS" 🙂
 
Kama jamaa naye ni wa mambo hayo ya kuwafumua watu back basi ataingia kwenye mtego huo wa kifala.
 
Hivi hakuna social laws ambazo zinabind watu kama hawa.....


Natamani hili jamaa lingekuwa linaishi nchi kaka north korea....
 
bado mnashangaa kwanini wanawake wengi hawajaolewa wanaume hao hao wagawane wanawake na mashoga why wasiwe haba[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
HuyU Shoga wazazi wake bado wako hai? na wanasherehekea anayofnya mwanao?? 'dunia kweli aianwayawaya!! mie awe mwanagu saa hii!! akam walivyofanya watoto wa mzee yakobo pale binti yao alipobakwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…