mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kukaba
Nampa shomary 75
Nampa Juma. 45
Driblling
Shomary. 69
Juma. 75
Cross
Shomary. 80
Juma. .78
Kupanda /kushambulia
Shomary. 75
Juma 80
Balance(kupanda na kurudi)
Shomary. 90
Juma. 35
Kufunga
Shomary 60
Juma. 40
Speed
Shomary. 60
Juma 80
Nguvu (power)
Shomary. 85
Juma 80
Alama za jumla
Kapombe 594
Juma 513
Hivyo nikiwa naakili timamu na knowledge ya coaching na preferr kumtumia Shomari na Juma atakaabenchi may be Machi za mabonanza
Wewe unaonaje
Alikuwa hajaanza kucheza ligi ya Bara. Baada ya kuanza kucheza, Djuma anatiliwa shaka hata na wananchi wenyewe, na ndio maana unaona wanayemuimba ni Fei Toto, sio tena Djuma wa kipindi kile cha usajiliEdo kumwembe pale wasafi alisema Djuma sio tu ni bora Tanzania Bali ni Africa dah,
Labda kwa maveterani lakini Juma huyu ambae alishindwa kabisa kumdhibiti Sheva??Edo kumwembe pale wasafi alisema Djuma sio tu ni bora Tanzania Bali ni Africa dah,
Wewe tuambie Djuma kamzidi nini Kibwana??Haya ni maoni ya mtu mwenye matatizo ya Afya ya akili
Labda Shamari wa miaka 2 iliyopita! Kwa sasa huwezi mlinganisha Djuma vs Shomari! Huyu mkongo amemwacha mbali sana Kapombe!'Kukaba
Nampa shomary 75
Nampa Juma. 45
Driblling
Shomary. 69
Juma. 75
Cross
Shomary. 80
Juma. .78
Kupanda /kushambulia
Shomary. 75
Juma 80
Balance(kupanda na kurudi)
Shomary. 90
Juma. 35
Kufunga
Shomary 60
Juma. 40
Speed
Shomary. 60
Juma 80
Nguvu (power)
Shomary. 85
Juma 80
Alama za jumla
Kapombe 594
Juma 513
Hivyo nikiwa naakili timamu na knowledge ya coaching na preferr kumtumia Shomari na Juma atakaabenchi may be Machi za mabonanza
Wewe unaonaje
Unayemtilia shaka ni wewe, sio wanajangwani.Alikuwa hajaanza kucheza ligi ya Bara. Baada ya kuanza kucheza, Djuma anatiliwa shaka hata na wananchi wenyewe, na ndio maana unaona wanayemuimba ni Fei Toto, sio tena Djuma wa kipindi kile cha usajili
Kwamba Shomari anaporomoka??Labda Shamari wa miaka 2 iliyopita! Kwa sasa huwezi mlinganisha Djuma vs Shomari! Huyu mkongo amemwacha mbali sana Kapombe!'
Sawa nitatoa keshoMwisho wa maelezo yako ulitakiwa pia kutoa credit kwa timu ya Wananchi kuendelea kuongoza ligi kwa point 9! baada ya kushinda mechi zake zote tatu.
Unateseka ukiwa wapii??Hiki ni kitendo cha kujitekenya na kucheka mwenyewe
hahaha jamaa anasema wanajangwan wanamtilia shaka,sasa sjui jangwa ganiUnayemtilia shaka ni wewe, sio wanajangwah
tatzo mkuu haujadeclare interestKukaba
Nampa shomary 75
Nampa Juma. 45
Driblling
Shomary. 69
Juma. 75
Cross
Shomary. 80
Juma. .78
Kupanda /kushambulia
Shomary. 75
Juma 80
Balance(kupanda na kurudi)
Shomary. 90
Juma. 35
Kufunga
Shomary 60
Juma. 40
Speed
Shomary. 60
Juma 80
Nguvu (power)
Shomary. 85
Juma 80
Alama za jumla
Kapombe 594
Juma 513
Hivyo nikiwa naakili timamu na knowledge ya coaching na preferr kumtumia Shomari na Juma atakaabenchi may be Machi za mabonanza
Wewe unaonaje