mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
- Thread starter
- #21
tatzo mkuu haujadeclare interest
Most of Jf member especially in sports forum knew that I'm Simba Nguvu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatzo mkuu haujadeclare interest
hapo sawa , kufupisha stor mkuu ni kuwa ,ni vgumu kwa shabiki wa simba kumvompare mchezaj wake na wa yanga na kumpacredit wa yanga , na pia ni vgumu kwa shabk wa yanga kumcompare mchezaj wake na simba na kumpa credt wa simba, ila ikitokea wa simba kampa credt wa yanga bas ujue hyo ni really na weng wataamn lisemwalo, na upande wa pili hvyohvyo.Most of Jf member especially in sports forum knew that I'm Simba Nguvu moja
Kumbe juma hajacheza champions ligiKweli kabisa sema siku nyingine home boy usimpambanishe Kapombe asee na huyo mcheza Bolingo. Utawapa UTO vichwa hapa wajione wana squad zuri.Yani kumpambanisha mtu anayecheza CAF champions league na yule anayecheza mbunge cup ni kosa la jinai kabisa
Fei toto ni nembo ya Taifa, kesi yake ni nyingine kabisa.....Alikuwa hajaanza kucheza ligi ya Bara. Baada ya kuanza kucheza, Djuma anatiliwa shaka hata na wananchi wenyewe, na ndio maana unaona wanayemuimba ni Fei Toto, sio tena Djuma wa kipindi kile cha usajili
Yaliochanganyika,Usonji na matumizi ya MangheHaya ni maoni ya mtu mwenye matatizo ya Afya ya akili
Ndio mkuu yupo huko Songea na wenzake sijui wanafanya niniKumbe juma hajacheza champions ligi
Hao akina manyama huwa wanakuwa wapi kwenye tim ya taifa?Kibwana ni bora kuliko Djuma achilia mbali Kapombe.
Yanga wangempata Manyama aliyetimkia Azam, Djuma angekaa benchi na Kibwana angerudi nafasi yake.
Ligi unaendeleaje huko kwenu??Haya ni maoni ya mtu mwenye matatizo ya Afya ya akili
Muda bado unaongea mkuuKapombe mlinganishe na kina Kibwana Shomari, Haruna Shamte, Duchu na sio Djuma Shaban
Haaaa, Shaban DjumaaYaliochanganyika,Usonji na matumizi ya Manghe
Simba fan hapa...Nimeangalia mechi za yanga ingawa Mimi sio mpenzi wao najiuliza Kama Djuma ndiye Yule aliyetusumbua mechi ya Kwanza labda majeraha yameua kiwango chale lakini Simba nawapa kongole kwa kuashtukia pamba
Ma ta ko yakoKukaba
Nampa shomary 75
Nampa Juma. 45
Driblling
Shomary. 69
Juma. 75
Cross
Shomary. 80
Juma. .78
Kupanda /kushambulia
Shomary. 75
Juma 80
Balance(kupanda na kurudi)
Shomary. 90
Juma. 35
Kufunga
Shomary 60
Juma. 40
Speed
Shomary. 60
Juma 80
Nguvu (power)
Shomary. 85
Juma 80
Alama za jumla
Kapombe 594
Juma 513
Hivyo nikiwa naakili timamu na knowledge ya coaching na preferr kumtumia Shomari na Juma atakaabenchi may be Machi za mabonanza
Wewe unaonaje
Ah we jamaaLabda Shamari wa miaka 2 iliyopita! Kwa sasa huwezi mlinganisha Djuma vs Shomari! Huyu mkongo amemwacha mbali sana Kapombe!'