Shomari Kapombe vs Juma Shabani -- nani ni zaidi mbavu ya kulia NBC PL?

Shomari Kapombe vs Juma Shabani -- nani ni zaidi mbavu ya kulia NBC PL?

Nani ni Bora??

  • Shomary kapombe

    Votes: 23 76.7%
  • Shaban Djumaa

    Votes: 7 23.3%
  • Nicholas Wadada

    Votes: 0 0.0%
  • Haruna Shamte

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    30
Ilikua kati ya Mayele na Kagere nani hatari kuliko mwenzake.

Ikaja battle ya kibu Denis Vs Mayele.

Sasa ni battle ya Kapombe na Djuma Shabaan..

Sijui mnatumia criteria gani kumtambua nani bora kuliko mwenzie..

'Eneweiiii' ngoja tule mtori kwanza nyama zipo chini..
 
Huu Uzi uliandikwa mapema mnoo
 
Nafikiri hata umri wao haufanani..ila naona kama kapombe amecheza mechi nyingi sana kuliko Djuma..kumbukeni toka 2012.Shomari ni multi purpose.Lakini pia ana pace kuliko mwenzke, kgezo kingne kwa shomari ni aggression, rate ya kujituma ipo juu..ila kapombe peak yake inapungua kwasab ya uchovu..hafai kucheza mechi zinazokaribiana.
 
Hakuna full back wa kulia kwenye ligi ya NBC wa kulinganisha na Djuma, jamaa ana uwezo mwingi sana
 
Hakuna full back wa kulia kwenye ligi ya NBC wa kulinganisha na Djuma, jamaa ana uwezo mwingi sana
Naona bwana mdogo kibwana shomari amepata mwalimu sahihi ndio maana anajituma sio kama kala kakilaza israel patrik simba walipgwa na kitu kizito.
 
Juma tatizo ni mchele mchele sana. Pancha nyingi. Akiguswa kidogo tu majeruhi miezi tisa. Ila ni bonge la beki. Mimi ni shabiki wa Simba ila Djuma namkubali
 
Back
Top Bottom