Shomari Kapombe vs Juma Shabani -- nani ni zaidi mbavu ya kulia NBC PL?

Nani ni Bora??

  • Shomary kapombe

    Votes: 23 76.7%
  • Shaban Djumaa

    Votes: 7 23.3%
  • Nicholas Wadada

    Votes: 0 0.0%
  • Haruna Shamte

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    30
Most of Jf member especially in sports forum knew that I'm Simba Nguvu moja
hapo sawa , kufupisha stor mkuu ni kuwa ,ni vgumu kwa shabiki wa simba kumvompare mchezaj wake na wa yanga na kumpacredit wa yanga , na pia ni vgumu kwa shabk wa yanga kumcompare mchezaj wake na simba na kumpa credt wa simba, ila ikitokea wa simba kampa credt wa yanga bas ujue hyo ni really na weng wataamn lisemwalo, na upande wa pili hvyohvyo.
 
Kweli kabisa sema siku nyingine home boy usimpambanishe Kapombe asee na huyo mcheza Bolingo. Utawapa UTO vichwa hapa wajione wana squad zuri.Yani kumpambanisha mtu anayecheza CAF champions league na yule anayecheza mbunge cup ni kosa la jinai kabisa
Kumbe juma hajacheza champions ligi
 
Alikuwa hajaanza kucheza ligi ya Bara. Baada ya kuanza kucheza, Djuma anatiliwa shaka hata na wananchi wenyewe, na ndio maana unaona wanayemuimba ni Fei Toto, sio tena Djuma wa kipindi kile cha usajili
Fei toto ni nembo ya Taifa, kesi yake ni nyingine kabisa.....

Djuma ana uchezaji wa aina yake.... Kwa kuzingatia ugen wa ligi na hali ya timu(muunganiko) ni wazi ana kubwa la ziada...

Navutia sana na utulivu wake akiwa anashambulia
Muda utaongea
 
Kibwana ni bora kuliko Djuma achilia mbali Kapombe.

Yanga wangempata Manyama aliyetimkia Azam, Djuma angekaa benchi na Kibwana angerudi nafasi yake.
 
Kibwana ni bora kuliko Djuma achilia mbali Kapombe.

Yanga wangempata Manyama aliyetimkia Azam, Djuma angekaa benchi na Kibwana angerudi nafasi yake.
Hao akina manyama huwa wanakuwa wapi kwenye tim ya taifa?
 
Wakati huo huo Djuma analamba mil 21 baada ya makato yote huku kapombe chini ya mil 10!
 
Ma ta ko yako

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…