Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao
Amesema kumekuwa na kesi nyingi za matukio ya Unyanyasaji lakini nyingi zinaishia kwenye Jamii bila Haki kupatikana huku akitolea mfano wa tukio la Iringa ambako Mtoto alibakwa na Mzazi wake na kuambukizwa UKIMWI lakini hakuna chochote kilichofanyika
Aidha, ameongeza kuwa Serikali inatoa fedha nyingi kwa ajili ya miradi ya maendeleo lakini miradi hiyo inakwama kutokana na Wananchi husika kutoshirikishwa kikamilifu katika uendeshaji wa miradi husika.