Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Hapo sawa,manake asifanye kuwa ndo msemaji wa watanzania halaf ongeza na dada ake na shemeji yakehawawezi manaake yeye babaake na mamaake hawawezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa,manake asifanye kuwa ndo msemaji wa watanzania halaf ongeza na dada ake na shemeji yakehawawezi manaake yeye babaake na mamaake hawawezi.
Hamna kitu hapo wewe.....Kazi yangu itakuwa ni kukukumbusha mpaka mwisho wa hili game.
WAZIRI MWAKYEMBE AKERWA NA KAULI ZA DIAMOND
Waziri wa Habari Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ameeleza kukerwa na mwanamuziki Diamond Platnumz kutokana na kumdharirisha naibu wake Juliana Shonza wakati akihojiwa katika kipindi cha The Play List cha Times FM na mitandaoni.
Katika maelezo yake Mwakyembe amesema inaelekea sasa Diamond ameanza kulewa umaarufu sasa. Kuhusu hoja ya vikao anavyodai mwanamuziki huyo Mwakyembe amesema kuwa “kama ni vikao na wasanii, tumefanya vingi sana, lakini Diamond hahudhurii vikao hivyo na si wajibu wa Serikali kumfanyia kikao chake mwenyewe, haijalishi nibmaarufu kiasi gani."
"Hatuwezi kuwa na sheria kwa wasanii wengine na sheria maalum kwake, nadhani hizi ni dalili za kuanza kulewa umaarufu kwani Diamond si Kiongozi wa Shirikisho la Muziki wala msemaji wa Chama cha Muziki wa kizazi kipya kuwasemea wenzake," amesema Mwakyembe.
Aidha Waziri Mwakuembe amemalizia kwa kumshauri mwanamuziki huyo kuwa "si busara kwake kushindana na Serikali, na kama ana ushauri basi autoe kistaarabu utazingatiwa lakini si kwa kumshambulia Naibu Waziri kwa dharau na kejeli jinsi alivyofanya. Sijafurahishwa hata kidogo."
Chanzo: DAR24
Mboga mbogaHivi Roma akienda mahakamani nini tafsri ya kibamia
Siananunua bamia gengeni anaenda nazo mahakamani kama ushahidi eboHivi Roma akienda mahakamani nini tafsri ya kibamia
Dada Mange ndo alivyosema eh?Hamna kitu hapo wewe.....
Pia mwakyembe asisahau sisi ndio wapiga kura na japo hatukumchagua ila akumbuke madarakani hata kaa milele.Kazi yangu itakuwa ni kukukumbusha mpaka mwisho wa hili game.
WAZIRI MWAKYEMBE AKERWA NA KAULI ZA DIAMOND
Waziri wa Habari Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ameeleza kukerwa na mwanamuziki Diamond Platnumz kutokana na kumdharirisha naibu wake Juliana Shonza wakati akihojiwa katika kipindi cha The Play List cha Times FM na mitandaoni.
Katika maelezo yake Mwakyembe amesema inaelekea sasa Diamond ameanza kulewa umaarufu sasa. Kuhusu hoja ya vikao anavyodai mwanamuziki huyo Mwakyembe amesema kuwa “kama ni vikao na wasanii, tumefanya vingi sana, lakini Diamond hahudhurii vikao hivyo na si wajibu wa Serikali kumfanyia kikao chake mwenyewe, haijalishi nibmaarufu kiasi gani."
"Hatuwezi kuwa na sheria kwa wasanii wengine na sheria maalum kwake, nadhani hizi ni dalili za kuanza kulewa umaarufu kwani Diamond si Kiongozi wa Shirikisho la Muziki wala msemaji wa Chama cha Muziki wa kizazi kipya kuwasemea wenzake," amesema Mwakyembe.
Aidha Waziri Mwakuembe amemalizia kwa kumshauri mwanamuziki huyo kuwa "si busara kwake kushindana na Serikali, na kama ana ushauri basi autoe kistaarabu utazingatiwa lakini si kwa kumshambulia Naibu Waziri kwa dharau na kejeli jinsi alivyofanya. Sijafurahishwa hata kidogo."
Chanzo: DAR24
mbogamboga labdaHivi Roma akienda mahakamani nini tafsri ya kibamia
Ameleta badiliko gani tangu awe waziri ? Bosi wake Mwakembe na usomi wake lakini ukiangalia kwenye tundu la sikio la upande mmoja unaona mpaka upande wa 2. Eti mtu kama huna cheti cha kuzaliwa usifunge ndoa. Kule Ipinda wangapi wana hivyo vyeti ?Kitendo cha kureact tu tayar kashajibu hoja... Much love for you naibu waziri
kufungia nyimbo na wasanii alilengwa Roma, wengjne wamieigizwa ili kuzuga tu. mipango yoyote ovu Huleta hasara tu. na haifanikiwi"BASATA ilinitumia ujumbe kupitia sms ya kawaida na mtindo wake ulikuwa ni kuitwa ofisini tu. Ujumbe haulizi kama nipo sehemu gani bali unaitwa tu." maneno ya Roma
View attachment 721342
Mwanaume eti'Me' as Meku au?
Hahahhahahaa
Kwah sasa inausiana nini na wakristo bloo ivi unajuwa maana ya haleluya??Diamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Me nikionaga mwanamke anamkazia Mondi kiasi hiki,huwa najiongeza..MAYBE Ni ex wake..
Dada Mange ndo nani?Dada Mange ndo alivyosema eh?