Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Majibizano yalikuwa kati ya NW Juliana na Msanii Diamond na NW akatuasa wananchi tumpuuze Diamond na kufunga mjadala. Sasa kuna watu wsnaibuka na kuufufua mjadala ambao kimsingi umeshafungwa, sijajua wanafaidika vipi zaidi ya kutafuta kiki kupitia migongo ya Jully na Dai. Hayo yamepita twende tukachape kazi sasa!
 
Eti Ruge anataka kijana ampe tigo ndo afurahi, dah kweli Mondi ana mdomo mchafu aisee

Uandishi wako umekaa kigashogasho, andika kama mwanaume. Kuhusu Diamond kinachompa nguvu ya kutunishiana misuli na Shenzi ni backup ya yule kaka yake asiyeshindwa kamwe
hahahaha JF
 
Kiburi na jeuri ni muhimu katika awamu hii aisee
Watu hawatak uwaharibia njia zao za kupatia gris
 
Majibizano yalikuwa kati ya NW Juliana na Msanii Diamond na NW akatuasa wananchi tumpuuze Diamond na kufunga mjadala. Sasa kuna watu wsnaibuka na kuufufua mjadala ambao kimsingi umeshafungwa, sijajua wanafaidika vipi zaidi ya kutafuta kiki kupitia migongo ya Jully na Dai. Hayo yamepita twende tukachape kazi sasa!
Usichokijua ni kuwa hata wewe una uendeleza.

Ungeupuuza tu.
 
Acha ijinga wewee, SHONZA yupo sahihi, Hili li free mason linapewa kiburi na mipete lilipowe huko Congo, na pia NAIBU RAIS ni mshauri wao, ndiyo kinajivunia
 
Acha ijinga wewee, SHONZA yupo sahihi, Hili li free mason linapewa kiburi na mipete lilipowe huko Congo, na pia NAIBU RAIS ni mshauri wao, ndiyo kinajivunia

Hahaha mkuu una hasira utasema hiyo mipete ilibidi upewe wewe na naibu rais awe mshauri wako
 
Bashite labda wakorofishane na WCB
Ila angekuwa mwingine angepotezwa
 
Uandishi wako umekaa kigashogasho, andika kama mwanaume. Kuhusu Diamond kinachompa nguvu ya kutunishiana misuli na Shenzi ni backup ya yule kaka yake asiyeshindwa kamwe
tapatalk_1521266737314.png
 
Bashite anampa jeuri.lete DNA hadharani kama Ney Wa Mitego..unalelea watu hao watoto
 
Lucifer sasa shetani alikuwa malaika Wa kuimba mbiguni...kiburi kikamuingia akataka kuwa Mungu akatupwa jehanamu...Mondi chunga sana..unajuwa mkuu penda toto white huyo bashite hawezi kukusaidia hapo..
 
JamiiForums kuleta mada serious Kiumbea kiumbea ni aibu. Hapa ni Mahali Pa kurekebishana kwa upeo Wa juu. Diamond kakosea sana. Msipende kuvunja heshima za watu. Judge Diamond .
 
Back
Top Bottom