johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Majibizano yalikuwa kati ya NW Juliana na Msanii Diamond na NW akatuasa wananchi tumpuuze Diamond na kufunga mjadala. Sasa kuna watu wsnaibuka na kuufufua mjadala ambao kimsingi umeshafungwa, sijajua wanafaidika vipi zaidi ya kutafuta kiki kupitia migongo ya Jully na Dai. Hayo yamepita twende tukachape kazi sasa!