Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Hamna kitu hapo wewe.....
 
Pia mwakyembe asisahau sisi ndio wapiga kura na japo hatukumchagua ila akumbuke madarakani hata kaa milele.
 
Hawa vijana wa siku hizi nao sijui kwa nini legelege namna hii,, Shonza wala siyo wa kupigia kelele ni wa kumla mkavu tu!!
 
Huyu bibie alivyo na jicho nyanya ivo kama vipi apigwe mkuyati tu kiishe. Najua mondi ashindwi!
 
Tukutane YouTube, kama wanauwezo wakazifunge na huko, shyeenz!
 
"BASATA ilinitumia ujumbe kupitia sms ya kawaida na mtindo wake ulikuwa ni kuitwa ofisini tu. Ujumbe haulizi kama nipo sehemu gani bali unaitwa tu." maneno ya Roma
 
Kitendo cha kureact tu tayar kashajibu hoja... Much love for you naibu waziri
Ameleta badiliko gani tangu awe waziri ? Bosi wake Mwakembe na usomi wake lakini ukiangalia kwenye tundu la sikio la upande mmoja unaona mpaka upande wa 2. Eti mtu kama huna cheti cha kuzaliwa usifunge ndoa. Kule Ipinda wangapi wana hivyo vyeti ?
Wizara ya bandari ilimshinda sana sana kaweka wanyakyusa wanaopiga pesa kwenye mafuta. Wizara ya sheria ikamshinda. Kuna wakati mheshimiwa rais atashindwa kumbeba huyu mzigo
 
"BASATA ilinitumia ujumbe kupitia sms ya kawaida na mtindo wake ulikuwa ni kuitwa ofisini tu. Ujumbe haulizi kama nipo sehemu gani bali unaitwa tu." maneno ya Roma
View attachment 721342
kufungia nyimbo na wasanii alilengwa Roma, wengjne wamieigizwa ili kuzuga tu. mipango yoyote ovu Huleta hasara tu. na haifanikiwi

selikari Immeisha tengeneza na mgogoro na wasanii,
 
Diamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Kwah sasa inausiana nini na wakristo bloo ivi unajuwa maana ya haleluya??
 
Me nikionaga mwanamke anamkazia Mondi kiasi hiki,huwa najiongeza..MAYBE Ni ex wake..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…