aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,224
Serikali ya Tanzania na vyombo vyake(wizara,Basata, na TCRA) HAVINA MSAADA WOWOTE kwa wasanii, wamefight mpaka kufika hapo walipo, leo hii kijitu from no where kimepewa mamlaka kwa njia zisizofahamika nacho kinatafuta umaarufu kupitia wasanii waliopambana kwa nguvu zao na wanachangia pato kubwa la taifa pamoja na kutoa ajira. Nenda Kenya/South Diamond huko ndio kuna binadamu hapa Bongo Bahati mbaya *****.
Unajua mkuu huu ni ukweli uliosema. Mimi naamini kabisa watz ni watu wa pekee sana. Ni watu wenye talent za kila aina.
Serikali yetu ipo tu kukosoa na kutoa adhabu na sio kusaidia kukua au kujenga mazingira ya kukuza sanaa na wasanii.
Unakuta jitu linasema wasanii walipe kodi. The derivation ya kodi sio kuchukua tu pesa za mtu bali kuchukua au kutonza pesa kutokana na kile ambacho serikali inagharamia katika nafasi ya msaani kukua na mazingira.
Nchi hii au niseme serikali wao wanaamini kutonza watu mikodi ndio kukuza uchumi. Sijawahi kusikia wizara ya habari inasaidia mchakato wa wasani au kuwapa pesa au kutoa incentives zozote kwa ajili ya wasanii.
Ila wakisikia diamond ametumia mil 39 kutengeneza video wao wanaanza kuwaza KODi.
I think we need to change the style and the leadership of this country. Its old and primitive!