Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Serikali ya Tanzania na vyombo vyake(wizara,Basata, na TCRA) HAVINA MSAADA WOWOTE kwa wasanii, wamefight mpaka kufika hapo walipo, leo hii kijitu from no where kimepewa mamlaka kwa njia zisizofahamika nacho kinatafuta umaarufu kupitia wasanii waliopambana kwa nguvu zao na wanachangia pato kubwa la taifa pamoja na kutoa ajira. Nenda Kenya/South Diamond huko ndio kuna binadamu hapa Bongo Bahati mbaya *****.

Unajua mkuu huu ni ukweli uliosema. Mimi naamini kabisa watz ni watu wa pekee sana. Ni watu wenye talent za kila aina.
Serikali yetu ipo tu kukosoa na kutoa adhabu na sio kusaidia kukua au kujenga mazingira ya kukuza sanaa na wasanii.
Unakuta jitu linasema wasanii walipe kodi. The derivation ya kodi sio kuchukua tu pesa za mtu bali kuchukua au kutonza pesa kutokana na kile ambacho serikali inagharamia katika nafasi ya msaani kukua na mazingira.
Nchi hii au niseme serikali wao wanaamini kutonza watu mikodi ndio kukuza uchumi. Sijawahi kusikia wizara ya habari inasaidia mchakato wa wasani au kuwapa pesa au kutoa incentives zozote kwa ajili ya wasanii.

Ila wakisikia diamond ametumia mil 39 kutengeneza video wao wanaanza kuwaza KODi.
I think we need to change the style and the leadership of this country. Its old and primitive!
 
Mkuu umemaliza kila kitu.
 
M naona mondi amkaze tu ..... maana vihere here vingine mwanadada anakuwa anahitaji huduma tu
 
Serikali ya Tanzania na vyombo vyake(wizara,Basata, na TCRA) HAVINA MSAADA WOWOTE kwa wasanii, wamefight mpaka kufika hapo walipo, leo hii kijitu from no where kimepewa mamlaka kwa njia zisizofahamika nacho kinatafuta umaarufu kupitia wasanii waliopambana kwa nguvu zao na wanachangia pato kubwa la taifa pamoja na kutoa ajira. Nenda Kenya/South Diamond huko ndio kuna binadamu hapa Bongo Bahati mbaya *****.
Yaani umetamka kweli, baba mkuu! vijanamke vingine vimepewa Mamalaka ya chupi tu! ki vipi! wanajua wao!

basi wafungie nyimbo siyo Msanii! halafu kanaleta ukiritimba tuuu, eti km ameonewa! afuate sheria milango iko wazi! Roho za korosho tu na katabaki hivohivo, ndo maana hakana Nyama!
 
View attachment 720060

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, amesema amesikia malalamiko ya mwanamuziki Diamond lakini hawezi kumjibu kwa sababu zipo taratibu za kufuata kama anaona hajatendewa haki.

Shonza analijibu hilo ikiwa ni siku moja tangu mwanamuziki 'Diamond' amtaje waziri huyo katika malalamiko yake, akidai amekuwa akikurupuka na kutolea mfano wa kufungia nyimbo na wasanii wakati akihojiwa na kituo cha redio cha Times.

Waziri huyo amesema hayupo tayari kumjibu Diamond ingawa wasanii wanapaswa kuelewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria hata kama msanii mkubwa namna gani.

"Aliyewafungia wasanii si Shonza bali ni mamlaka na kama mlivyoona safari hii hadi Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeingilia kati suala hilo, sasa mtu anaporusha tuhuma kumlaumu Shonza atakuwa hanitendei haki. Isitoshe ofisi zetu zipo wazi anayeona ameonewa afuate taratibu katika kudai haki yake na si kulalamikia pembeni," amesema Waziri Shonza.

Kuhusu kutoitwa kwa wasanii kabla ya kufungiwa kwa nyimbo zao Shonza amesema hilo waulizwe Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) maana ndio wenye kujua sababu na kwa baadhi ambao aliwaita ameeleza kuwa ni kutokana na kupewa maagizo ya kubadilisha nyimbo zao na kuwahi kukiri makosa lakini wakashindwa kutekeleza.

Katika mahojiano hayo na redio Times, Diamond alielekeza mashambulizi zaidi kwa Waziri Shonza na kudai kwamba amekuwa akifanya maamuzi yake kwa kukurupuka akisahau kwamba viongozi hawana mchango wowote kwao na pia wamekuwa wakiziumiza familia zao.

"Hivi leo unanifungia nyimbo yangu niliyoitengeneza kwa mamilioni ya pesa unadhani nitazirudishaje, au unadhani watoto wangu Nillan, Dyllan na Tiffah watanunuliwa na nini ‘pampas’? Ifike mahali viongozi wetu wavae viatu vyetu na si kuona raha tu kutufungia wakati tumetaabika katika kuyajenga majina yetu hadi sasa tunajulikana duniani," amesema Diamond.

Februari 28 TCRA iliandika barua kwa vituo vya redio na televisheni ikiviagiza visitishe kuonyesha nyimbo 15 za wasanii kadhaa kutokana na kuwa na maudhui ambayo yanaenda kinyume na maadili na kanuni za Huduma za Utangazaji(Maudhui) 2005.

Nyimbo hizo na jina la msanii aliyeimba kwenye mabano ni Hallelujah na Wakawaka (Diamond), Kibamia (Roma Mkatoliki), Pale Kati patamu, Maku (Makuzi) na Mikono Juu (Ney wa Mitego), Hainaga Ushemeji(Manifongo), I am Sorry JK(Nikki Mbishi.

Nyingine ni Chura (Snura) na Nimevurugwa (Snura), Tema mate tumchape(Madee), Uzuri wako(Jux), Nampa papa(Gigy Money), Nampaga(Baranaba) na Bongo Bahati mbaya(Young D).

Chanzo: Mwananchi

Hiki kidada kilikua kinanuka kwapa balaa.... kiko wapi siku hizi?
 
Wasanii wa siku hizi nao wamezidi kuvimba nyimbo za ajabu, unasikiliza nyimbo umekaa na watu wazima unaowaheshimu ghara unasikia nyimbo inapigwa " Dera jipya chupi la zamani" Daah .
 
Back
Top Bottom