likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
Hallelujah simply means "praise Jah". Sasa wakristo tukalalamike nn????Diamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Bamia ni mboga moja tamu sana unapokula ugali unateleza tuHivi Roma akienda mahakamani nini tafsri ya kibamia
Usitusemee wakristo kwa sababu ya neno hallelujahDiamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Hahaha hakuna separation of powerShonza na magufuli wanasiasa waliokota uongozi tabia zao lazima zifanane.
Shonza anafanya kazi za basata.tcra.za uwaziri.mda si mrefu ataanza kuwa referee
Magufuli Nae igp yeye waziri wa viwanda yeye.msemaji wa serekali yeye.hakimu yeye.waziri mkuu yeye.
Kuokota vyeo ni hatari unakuwa hujajiaandaa.
Mi meWe Ni ke?
Mbna unamwandiko wa kiume
Kwani halleluya manake niniDiamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Kwa kweliMuda ufike tuanze kupiga kura hata kwa mawaziri
Tangu lini neno Hallelujah Ni neno la kikristoo?Kutaja tu neno haleluya inaashiria ukristo unakua ,so wala hatuna neno naye,sisi wakristo tunaimani siku moja ataimba gospel .Bwana Yesu asifiwe mkuu!