likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
Sasa mbona keshamjibu
Huyo dada anategemea Diamond ataenda ofsn kwake wakapige selfie kama yule RPC
Namshauri Diamond akaushe tu kwa sababu yy ni maarufu kuliko huyo Shonza ambaye atajulikana kupitia yeye