James Rodriguez 10
Senior Member
- May 4, 2023
- 140
- 227
Tafuta kitu kinaitwa PMP certification mkuu, level ya juu and recognized level kwenye project managementKuna course nataka ku parsue online this year. Project management or Monitoring, Evaluation and learning bado sijapata muafaka nisome ipi na nisome site ipi
Wakuu, habari za muda na wakati huu.
Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa jalalani.
Nilikua napenda nijui ni short kozi gani ziliwafungulia milango ili na sisi wengine tupate kuokota mawili matatu.
Sorry broCyber security
Shukrani mkuuMicro strategy
Excel
SAP
Certificate ya business analytics . Hii ni bure website ya Microsoft
Barikiwa sana mkuuTafuta kitu kinaitwa PMP certification mkuu, level ya juu and recognized level kwenye project management
Ata USHONAJI MKUU[emoji88]Hakuna
Huo nilijufunza ila sijautumia.Ata USHONAJI MKUU[emoji88]
Shukrani boss. japo ada yake imesimamaTafuta kitu kinaitwa PMP certification mkuu, level ya juu and recognized level kwenye project management
It is all online, sina certificate ya chuo chochote hapa TZSorry bro
Umehitimu level gani ya cyber security na ulichukua muda gani
NakubaliDog training
Kila hatua duaShukrani boss. japo ada yake imesimama
Jamaa mmoja toka South Africa ana itwa Sandile Shetzi kama una mjua. Ilikuwa zamani kidogo kwenye 2020 june nakumbuka.Ulijifunzia hiyo course wapi,please share.
Ulitumia muda gani hadi kuwa nondoIt is all online, sina certificate ya chuo chochote hapa TZ
AmenBarikiwa sana mkuu
Ni $500+Shukrani boss. japo ada yake imesimama
Yategemea na muda ulio nao, pia cyber ni pana sana, huwezi kufika mwisho mana attacks surface zinatokea kila kukichaUlitumia muda gani hadi kuwa nondo