Short course gani ilibadili maisha yako?

Short course gani ilibadili maisha yako?

Kumbe kama mi KLF nikiiramba GIS nakuwa nimepoteza muda inakua imekula kwangu mkuu
Ni vizuri sana kabla hujafanya maamuzi ya kusoma short course yoyote uka-explore market yake. Kuwa na KLF ni moja lakn GIS ni kitu kingine kabisa ambacho ukipata ujuzi wake unaweza changanya na ujuzi wako wa KLF then ukafanya kitu ambacho ni Cha kipekee kwenye industry yako mkuu.
 
Ndio mashiko yapo maana tafiti yoyote ile inahitaji uchambuzi na uchakataji wa taharifa ambao ni bora lkn unavyo soma short course kama hii jitaidi kuwa na connection na watu wanao fanya tafiti kama vile NGOs, Student

Mimi niliwai kusomea short course ya data analysis kwa kutumia Genstat wakati nipo chuo mwaka watatu kusema kweli nilipata pesa ya kutosha kupitia wanafunzi wenzangu pia iliniwezesha kunipatia ajira yangu ya kwanza

Mwisho kabisa lkn sio lazima ukiwa data analytics inabidi uwe na uwezo wa kuandika finds mbali mbali hii itakusaidia sana kupata kazi

Kuandika findings au funds? And how?
 
Back
Top Bottom