Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
OkNaitaji kujuwa data analysis mkuu napend kama upo fresh number 0657994545
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkNaitaji kujuwa data analysis mkuu napend kama upo fresh number 0657994545
Yani hadi transcript.Wanatoa na vyeti???
Sio watoto bali watu wazima wasiojitambua, wengine walimu kabisaUzi huu ungekuwa mzuri sana,ila naona watoto tayari wamevamia
Ni walimu na jingine tumbo kama pakachaKuna watu ni wapuuzi sana wao kila mada wanaleta habari za mapenzi tena inawezekana ni watu wazima ila 24/7 wanawaza ujinga.
Si kweliFundi halali njaa[emoji23]
Nashauri ukasome Refrigeration and AC.Nipo nasubiri majibu, lakini nafikiria kwenda kusomea AC au electrical. Lakini ngoja kwanza nisikilize maoni ya wadau
Hii pamoja na kumiliki passport inapaswa iwe kipande cha sehem ya maisha ya vijana wa sasa kama kumiliki cheti cha kuzaliwa.Driving NIT
Yani hadi transcript.
Uko na foundation ya nn kwa kuanzia.Veta Kipawa anatoa ila nami sijui application yake ipo vipi msaada wajuzi
Nadhan ni muhimu sana ukapata kujua anahitaji GIS kwenye Field ipi. Short course kipawa, ardhi university wanafundisha tu basics za ArcGIS software. Lakn kama anataka kujua application ya GIS kwenye Field let's say engineering, geology, forest nadhan it's better kupata short courses kwenye respective institutes ambazo wanatoa hizo mambo kwenye Field husika.Veta kipawa ni short course
Kwa nini mkuuSi kweli
Mabasi , maLori, trektaHiyo driving full course ndio ikoje
Ukiingia Google unaandika Technician for Africa Certification utaletewa kila kitu.Zinaanzaga lin?? Na namna gan ya kujiunga??
AnthropologyUko na foundation ya nn kwa kuanzia.
Kama ni kwenye Field ya earth works, engineering na the likes of, soko lipo.
Shukrani mkuuNadhan ni muhimu sana ukapata kujua anahitaji GIS kwenye Field ipi. Short course kipawa, ardhi university wanafundisha tu basics za ArcGIS software. Lakn kama anataka kujua application ya GIS kwenye Field let's say engineering, geology, forest nadhan it's better kupata short courses kwenye respective institutes ambazo wanatoa hizo mambo kwenye Field husika.
Nyongeza lakn sio muhimu:
Zama YouTube kula desa elewa then nenda kutafuta gamba.
Ahsante
Bye.
Shukrani kwa mwangaza mkuu1. Project Management and planning
2. GIS and remote sensing
3. Driving course NIT (Defensive driving)
1 & 2 uwe na bachelor foundation ya geology au engineering
Shukrani mkuuNashauri ukasome Refrigeration and AC.
Ama.....
Electrical and Electronics.
Ama...
Electrical and Instrumentations.
Karibu sana.Shukrani kwa mwangaza mkuu
Kumbe kama mi KLF nikiiramba GIS nakuwa nimepoteza muda inakua imekula kwangu mkuuKaribu sana.