Short course gani ilibadili maisha yako?

Short course gani ilibadili maisha yako?

Wakuu, habari za muda na wakati huu.

Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa jalalani.

Nilikua napenda nijui ni short kozi gani ziliwafungulia milango ili na sisi wengine tupate kuokota mawili matatu.

Micro strategy
Excel
SAP
Certificate ya business analytics . Hii ni bure website ya Microsoft
 
Ulijifunzia hiyo course wapi,please share.
Jamaa mmoja toka South Africa ana itwa Sandile Shetzi kama una mjua. Ilikuwa zamani kidogo kwenye 2020 june nakumbuka.
Alikujaga Tanzania kipindi hicho so alitoa offer maana alikuwa ana tafuta wanafunzi.
Alikuja pale Mwalimu Nyerere ukumbi wa mkutano posta.
 
Back
Top Bottom